Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
hahahaha
Leo katika Historia:
1985 - Alvaro Negredo anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man City, Sevilla, Valencia na sasa yupo Middlesbrough.
Unaendesha gari kwenda Bukoba pembeni unasikiliza CD ya Jim Reeves, safari inakuwa fupi sanaLeo katika Historia:
1923 - Jim Reeves anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
Dah kweli mkuu, kila mtu na kipawa alichopewa na Mungu.Unaendesha gari kwenda Bukoba pembeni unasikiliza CD ya Jim Reeves, safari inakuwa fupi sana
Sana, yani mtu unatembea huku unaotaNdoto za mchana kabisa...
YaaniUna ndoto nzuri sana,lakini wakati wake bado sana
ni sawa utembee na tochi mchana wa jua kali.Sana, yani mtu unatembea huku unaota
Pumzika kwa amaniLeo katika Historia:
1914 - Pope Pius X anafariki Dunia.
This jibu thoughKwani wewe umekufa?
Leo katika Historia:
1914 - Pope Pius X anafariki Dunia.
Napenda nyimbo zake..... Baadae ntaweka wimbo wake mmojaLeo katika Historia:
1923 - Jim Reeves anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
Wale wapenzi wa old skullz tunamuelewa sana huyu muasisiLeo katika Historia:
1965 - KRS - One anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hip Hop toka nchini Marekani.
LolLeo katika Historia:
Ni siku ya Mbu Duniani.
Ambapo dokta mmoja wa Kiingereza aligundua Mbu jike anayeenza Malaria, tarehe kama ya leo, mwaka 1897.
SwadaktaNapenda nyimbo zake..... Baadae ntaweka wimbo wake mmoja
Cc sweetiepieWale wapenzi wa old skullz tunamuelewa sana huyu muasisi
Happy Birthday KRS One
Asanteeeeeeeee kwa historia,Kwa udhamini mnono wa Ibra Kadabra, tukutane tena kesho.
Byeeeee
Leo katika Historia:
Ni siku ya Mbu Duniani.
Ambapo dokta mmoja wa Kiingereza aligundua Mbu jike anayeenza Malaria, tarehe kama ya leo, mwaka 1897.
Dah kweli mkuu, kila mtu na kipawa alichopewa na Mungu.
Jamaa alikuwa vizuri sana. Apumzike kwa amani.
DoneSwadakta