Makapuku Forum

Aaah najua wengi weju humu mmewahi kupanda ndege(usniulize mimi kama nme wahi au vipi) aaah japo wengi wenu mna eza kuwa mmepanda fast jet si haba nayo ni ndege kwa kuwa ulienda airport

Sasa ndege ndio moja ya usafiri complicated na salama zaid na unao vuka barriers nyingi kutoka sehem moja hadi nyengine
 
Tupiamo vitu sasa...
 
Number 10, American Airlines Flight 191 – 273 wakifarikiw wakat ndege hii inaanza tuu kuondoka injini moja ya upande wa kushoto ilizima ghafla, na kudondoka, ukiangalia hiyo picha kwa makini utaona kama kuna vitu zna mwagika hvi hapo ni inavuja fuel and hydraulic fluid. Na kwa kuwa upande ulikuwa umekosa nguvu uli zid upande wa kulia ambao ulikiwa ndio una fanya kaz ndege hiyo ilizunguka mara kadhaa hewani na kwenda kuangukia kwemye sehem ya wazi na kwa kuwa yale mafuta yalikuwa yaki mwagikia kwenye ndege mdio yaliharibu kabisa na kuifanya ndege ilipo anguka kisionekane hata kitu kimoja kilicho salimika kikamilifu
Japo wana dai ndege hizo hazikiwa salama na zlikuwa na rekod ya ajali ajali flight 191 ilifanya kaz miaka saba bila ttzo lolote mpaka May 11, 1979. Ambapo wasafiri hao walio kuwa wakitoka chicago kwenda LA waliuawa kwa ajali hii mbaya kabsa
 
Majanga
 
Number 9, Iranian Air Force – 275 walifariki, 90 majeruhi waliokuwa chini ndege hii ilibeba waandishi wa habari 116 na wana jeshi 128 ambapo ma kamanda wa jeshi la jamuhuri ya ki islam ya Iran walitaka waende kwenye mishen ambayo wangeonesha uwezo huku waandishi wa habari wakishuhudia
Lakin injini ya ndege iliyo anza kusmbua kabla hawajaondoka ilizima ghafla na kufanya watu zaid ya 150 kuripotiwa kufa hapo hapo, baada ya hapo (kwani msaada ulifika dakika 3 tuu bada ya ajali) takriban watu 40 walifariki wakiwa hospitali na miili mingine zaid ilikuja kuokotwa baada ya siku kadhaa baada ya December 6, 2005 ambayo ndio ilikuwa siku ya ajali
 
Number 8, Iran Air Flight 655 – 290,walifariki3/7/1988 ndege hii ya aburia ambayo ilikuwa inatoka Iran kuwanda Abu Dhabi huko Dubai, ndege hii ilitunguliwa kimakosa na meli za kivita za ki marekani kutokana na mawasiliano kutokuwa mazuri baina ya mamlaka ya anga ya Iran, marubani wa ndege na jeshi la marekani , wakati ndege hiyo iki ondoka ilo kuwa ikitumia IFF squawks ya Mode III (na siyo Mode II used inayo tumika na majeshibya angabya Irani) ambayo ni ya ndege za kawaida, kwa hiyo wakati wana jeshi wa marekani walipi iona walifikiri kuwa ni ndege ya kijeshi aina ya F-14s, ambayo walitaarifiwa imebeba na makombora na vifaa vya maangamizi, wakati walipo wa brief watu wa Iran walisema hawaitambui ndege hiyo, na walipo wasiliana na rubani wa ndege hakujibu kitu kwa kuwa yeye alitumia Mode III na wao mode II hivo ni hakika hakuskia chochote, ndipo wana maji wa marekani walipo itungua wakidhani ni kiburi cha rubani, na kuua watu hao 290, hapo hapo marekani hawakuoma msamaha wowote kwani wakisema wao hawakajua na ni misscommunications tuu ndo zli sababisha ,
Baadaye mwaka 1995 mahakama ya kimataifa ya haki ,iliamuru marekani walipe fidia kwa kila familia ilo poteza maisha dola za kimarekani milioni 2.4
Na ndio ukawa mwisho hapo
 
Sipati picha watu walivyoungua!
 
Hawa walitaka kwenda kuua wenye haki.
 
Wamarekan nao ni makauzu
 
Mh!!! Balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…