Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Thanks dear...Nite na ugua pole dear
Nimemeza Claritine...pole sana, ushapata dawa?
Michael Hakuwa mnafki dar kuna maeneo yanatema kweli jamani...Ni kweli dar Kuna nuka, wewe pita kwa mtogole, bonde la mkwajuni na jangwani
Kwakweli thanks dearGet well soon dear...... Pumzika kesho utakuwa sawa
SafiiiiiTisha vibaya sanaaa
Hebu weka picha
Huyu mkaka angebaki angalau tuBado hujaziona?
Labda macho yako yamezibaView attachment 382800View attachment 382801View attachment 382802View attachment 382803View attachment 382804View attachment 382805
..............
Dogo nomaa nimependa uso wake uko kisomi zaidi...
Jaman leo naomba mnisamehe
Top 10,zme shindikana
Salama kabisa mkuuMmeamkaje wakuu hapa nawatakia siku njema.
Kila mtu ana Uhuru wa kujiamulia mambo ilimradi asivunje sheria.....Maishani unaweza kukwepa balaa kubwa lkn ukafa au kusumbuliwa na balaa dogoHuyu mkaka angebaki angalau tu View attachment 382956na hii rangi sidhani kama yangemkuta yaliyomkuta...R.I.P
Kila mtu ana Uhuru wa kujiamulia mambo ilimradi asivunje sheria.....Maishani unaweza kukwepa balaa kubwa lkn ukafa au kusumbuliwa na balaa dogo
Ishi unavyojisikia sio kufurahisha watu
Live ur life
Y.O.L.O
............. ..
Kivipi...Mie ndo nsha msemea
PoleeNasumbuliwa na kahoma week sasa sema nawapenda Kapukuz hivyo huwa najitahidi nisipotee
Sasa kuna kamsiba ndo kamenizidishia homa nikapumzika kabisa
...........
Kwakweli Hiking ni changamoto yahitaji moyo wa chuma...Number 5, Makalu – mita 8,485 View attachment 382821huu uko huko Nepal na kwa miaka mingi hakuwahi mtu hata mmoja kujaribu kupanda, na mwaka 1954 ndio kwa mara ya kwanza kuna watu walijarbu kuupanda lakin waka shndwa, sas mwaka 1955 mimi tukiwa Lionel Terray na Jean Couzy wa ufaransa msafara uliongozwa na Jean Franco. Sasa kama unavo ona mlima umekaa kama una kipiramidi hvi upande mmoja hiko wakaz wa huko hukiabudu kama alama mojawapo ya kiimani kwao