Bitoz hii umetisha sasaFIX ZA BITOZ:
Tukiwa mdogo tuliaminishwa kwa kupigiwa fix eti yule mfalme wa POP duniani aliwahi kuja Bongoland na kuishia kuziba pua airport na kugeuza......
Kumbe zilikuwa fix tu za mababu zetu uchwara!
Ukweli ni kwamba Hayati Michael Jackson The Wacko Jackal hakuishia airport wala nini.....alifanya ziara kamili na kutimba hadi jengo tukufu pale Magogoni na kupiga stori na Mzee Ali Hassan Msingi
Nimegundua zile zilikuwa ni fix za town......wabongo wana degree za fix dunia nzima tunaongoza View attachment 382779
**********************************
Doh! nan huyo?Humu humu
Unapendeza sana English figure
Nasikia binamu anadata sana na figa hizo
Bado haijatumwaHivi Ankali mahari si bado haijatumwa????
Kumbe MJ alikuwa CCMFIX ZA BITOZ:
Tukiwa mdogo tuliaminishwa kwa kupigiwa fix eti yule mfalme wa POP duniani aliwahi kuja Bongoland na kuishia kuziba pua airport na kugeuza......
Kumbe zilikuwa fix tu za mababu zetu uchwara!
Ukweli ni kwamba Hayati Michael Jackson The Wacko Jackal hakuishia airport wala nini.....alifanya ziara kamili na kutimba hadi jengo tukufu pale Magogoni na kupiga stori na Mzee Ali Hassan Msingi
Nimegundua zile zilikuwa ni fix za town......wabongo wana degree za fix dunia nzima tunaongoza View attachment 382779
**********************************
Ujue utafanya top 10,zcje
Wajinga ndio waliwaoNa alikaa kilimanjaro hotel
Mkuu si nasikia umehamia upande mwingineKhaaa
Mkuuu
Zidumu fikra za mwenyekiti.Sawa kabisa
Nakubaliana na wewe ndugu mwenyekiti
Chunguza vizuri miguu yake alivyowekaKumbe MJ alikuwa CCM
Basi my sweet binamu lete top 10 nilidhani umetoka kidogoUjue utafanya top 10,zcje
MkuuuJimena amekupenda sanaaa
HiiiiiBriz hiyo Avatar Jimenna namuunga mkono..ni tatizo mjini
Cc: Jimenna
Ndo ushangae sasa, sisi tumeshinda nae hapa hatujuiUnaumwa mimi jirani yako sijui