Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
KaribuAsante sana kwa magazeti ya leo
JJ
KaribuAsante sana kwa magazeti ya leo
JJ
Leo katika Historia:
1982 - Joleon Lescott anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Everton, Man City, West Brom na England.
Leo katika Historia:
1977 - Elvis Praisley anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji mashuhuri toka nchini Marekani.
Wako vizuri sana Cyprus
Leo katika Historia:
2003 - Idd Amin Dadah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Dikteta na Rais wa 3 wa Uganda.
Alisifika kwa utawala wa Mkono wa chuma, ambapo watu waliompinga walikiona cha mtema kuni.
Leo katika Historia:
Ni siku ya watoto nchini Paraguay.
Salama, karibuNawasalimu makapuku
RIP Elvis...[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji120] [emoji120]Leo katika Historia:
1977 - Elvis Praisley anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji mashuhuri toka nchini Marekani.
Kapo kaziniKako wapi
R.I.P Idd Amin...au sijui niseme R.I.Hell hata sielewiLeo katika Historia:
2003 - Idd Amin Dadah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Dikteta na Rais wa 3 wa Uganda.
Alisifika kwa utawala wa Mkono wa chuma, ambapo watu waliompinga walikiona cha mtema kuni.
Asante Mussolin 5, kwa historia ya leo...Happy birthday MaddonaKwa udhamini wa birthday ya dada yangu, Sina la ziada tukutane tena kesho.
Nimkaribishe JJ alete Magazeti.
bye...
Old is ever Gold huyo....anazidi tu kuwa mdada.
Salama kabisaaNawasalimu makapuku
Good morning Mukongo...!Duh! Nimepamisi KF! Goodmorning peoples....
MhmmmKapo kazini
MhmmmKapo kazini