Ukiona hivyo ujue ni mtu wa watuAlizikwa na wengi
Acheni undeziPicha plz
Weka picha.
....full bhanaKaka humu ni fool peace....
Hivi ile segment yako kwanini usiifanye kila siku jamnaniKaka humu ni fool peace....

Ushahidi muhimu sio kutulisha matango pori tuAcheni undezi
........
Kama wewe Ndezi wa Mbezi, njoo upate maombezi, uachane na hayo maandazi.Acheni undezi
........
Itabid itafutiwe top 10 yake hiiLeo katika Historia:
1946 - Kunatokea Maandamano makubwa huko Kolkata India na kusababisha mauaji ya watu 4000 ndani ya saa 72.
Shwari kabaisa shem, ....ya man 4ngo mimi nayalaani kabaisa shem....tena ningekuwa na mamlaka ningeufanya kama ule wa chura -SnuraMi niko poa sana,
Nipe mpya my shemeji (hope wewe sio man fongo)
Kachunge ng'ombeKama wewe Ndezi wa Mbezi, njoo upate maombezi, uachane na hayo maandazi.
Cyprus watu wake ni wa nzuri kwel kwelLeo katika Historia:
1960 - Cyprus yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
UtajazaUshahidi muhimu sio kutulisha matango pori tu
Aione hiyo,Heee
Asa briz kafanyaj tena!!
Role model wa MJ huyu hatarghiiiLeo katika Historia:
1977 - Elvis Praisley anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji mashuhuri toka nchini Marekani.
Atafurahia movie mbona
We acha tu aanze kisha mi ntamaliza

DaaahLeo katika Historia:
2003 - Idd Amin Dadah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Dikteta na Rais wa 3 wa Uganda.
Alisifika kwa utawala wa Mkono wa chuma, ambapo watu waliompinga walikiona cha mtema kuni.
HahahaCc szczesny
Wengine watu wa wapiUkiona hivyo ujue ni mtu wa watu