Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hujafa hujaumbikaKweli Mungu hakupi kila kitu na akunyimi kila kitu
Maisha ni km tumepanga mstari ukiambiwa nyuma geuka...wa mwisho anakua wa kwanza & vise versa
.........
Hujafa hujaumbikaKweli Mungu hakupi kila kitu na akunyimi kila kitu
Uwiiii marangu mtoni mamba maande ....mamba kokirie.. Marangu Arisi.Kiwelu imegawanyika mkuu, ila hii ya Kwangu ipo Marangu Mtoni, Mamba Maande...
Hakika aliye ninong'oneza alaikuwa hanitakii mazur si mke wa mtu tu kumbe mke wa PM kabisa..Ni mke wa mtu huyo, umedanganywa.
🙂🙂🙂 tayar anakujua baby...Mi mbona wako peke ako..wala usiwe na presha.Baby, naomba umtambulishe Bitoz ili ajue umewahiwa tayari.
Komaaa unaweza ukamzidi nyotaaaHakika aliye ninong'oneza alaikuwa hanitakii mazur si mke wa mtu tu kumbe mke wa PM kabisa..

Au jina la choka lina changia ninibado mkuu
Huku kwetu bado mkuu.. Uko poa lknKumekucha makapuku
Lol mshana Jr unapenda mtelezo bibie analalamika hutoi hata hongo
utamu apate yeye, protein achukue yeye halafu gongo nitoe mimi

nakupenda zaid yako hnyUsijali sweet, nakupenda sana.
Na dada ongezea tu hadi advance kwa ajili ya yeye kufanya shopping ili asahau yote aliyofanyiwa tayar nimeshakutumia wewe..So akikubali kiasi cha kuanzia utamrushia tu..cute b kaka yangu amekudondokea, na kipesa sio mchoyo. Please mkubalie. Hali, halali.
Havhaaaaa kwani we huwa hupati utamu??![]()
![]()
utamu apate yeye, protein achukue yeye halafu gongo nitoe mimi
![]()
![]()
![]()
tatizo protein siyo? cc cute b ukuje hapa kuna malalamikoMarangu mwika,msae,kisambo....naanza kugundua nina ndugu wengi hapa wa maranguUwiiii marangu mtoni mamba maande ....mamba kokirie.. Marangu Arisi.
Hahahaaaa..... kama hauna access ya kwenda huko litakuwa limefutwa kweli, ila kama unayo ruhusa ya kudhuru huko lipo sana.Nasikia eti limefutwa.