Dada hujambo!Tuko poa...karibu sana mkuu
Dadangu unapenda musiki kweli weweJimenna Cheki na ile aliyoimba na Cool J...All i have [emoji8] [emoji8]
Namkubali sanaaaKamanda huyo
Ni muzuri kabisa..siku imiendaje pande hizo...[emoji3]Thanks nsha karbia
Abar za toka jana
Miaka kati ya 2002 hadi 2004Nyimbo za mwaka gan hzo!!?
Duuh....[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lete vituuTop 10 aka kumi kubwa
Znakuja sasa hvi
Nshangia studio hpa
Hahaha hapo Werrason lazma umkuneWakuu habar ya saa jioni
Polen na shuguli za kila sku.
Now ni type ya top 10,na
Tuna anaaza na burudani
Fid q ft Bella -roho
Karibu
HahahahahSijui Naya kinje itakuwepo
Kwa gharama hizo lazma ivunjike baada ya huo muda...wangezileta hizo pesa huku kudonate kwa watoto yatima na kuwajengea makazi watoto wa mitaani tu tujue mojaNumber 10, Elizabeth Taylor na Larry Fortensky – usd 2.5 Million View attachment 382167hii ilikuwa ni mwaka 1991 kwenye ranch ya Michael Jackson iliyo itwa Neverland huko Hollywood na ilikuwa na wageni takriban 160,na walikuwa wagen wazito kweli kweli kama vile Eddie Murphy, Nancy Reagan, Quincy Jones,Macaulay Culkin na Liza Minnelli, Michael ndo ali act kama baba wa bibi harusi na wanasema gauni la bibi harusi bibi liz ilikiwa ni $25000
Amini usiamini ndoa hiyo ilikiwa ni ya saba kwa bibie Liz na mapaparazi walizuiwa kabsa kabsa na hata helkopta ya doria iliwekwa kuhakikisha hakuna kivuruge atakaye ingia kupga picha hovyo
Harusi hiyo ilivunjika miaka mitano baadaye yaan 1996
Shame on them!!! migharama mikubwaaa ndoa hazidumuNumber 9, Paul McCartney na Heather Mills – usd 3 Million View attachment 382171hii ilikuwa ni mwaka 2002 na paul alikataa mamilion yaliyo tolewa na majarida mbali mbali kwa ajili ya kutoa picha za harusi yake, walifunga harusi ya tamaduni za kihindi huko Ireland kwenye jumbla la Castle Leslie huko kijijin Glaslough. Harusi ilihusisha wacheza show wa kihindi, fataki zlizo gharamiwa usd 150,000, na maua ambayo yalikuwa yana gharama ya usd 145,000 na walicost jumba hilo kwa usd 40,000
Baadaye ringo, george na paul walipga wimbo mmoja akiwa tge beatles
Pia hiyo ilikuwa ni harusi ya pili baada ya mkewe wa kwanza kufariki mwaka 1998, ndoa ilidumu miaka kama mitano na kidogo kwani mwaka 2008 talaka rasmi ilitolewa
aaah these people, what a watse of money!!
Sijambo kaka japo umekuwa kimya sanaDada hujambo!
Hawavutii...Number 8, Liza Minnelli na David Gest – usd 3.5 Million View attachment 382174 liz ni muigizaji na dave ni pruducer ,hawa harus yao ilifanyika huko New York mwaka 2002 ikiwa na wageni waalikwa zaid ya 850 wakiwemo watu kama Diana Ross, Donny Osmond , na Mia Farrow kwenye hotel kuvwa iitway Regent, walio simamia ndoa hiyo walikuwa ni Mr Michael Jackson na Miss Elizabeth Taylor
Keki tuu ibakadiriwa ilikuwa ni dola za kimarekani laki nane(usd 800000) na ilikuwa ni moja ya harusi maarufu sana
Cha kushangaza ndoa yao ilidumu miez 16 tuu
Angalau wanajielewa hawaNumber 7, Chelsea Clinton na Marc Mezvinsky – usd 5 Million View attachment 382177
Imebid nitume kama ilvo andikwa hvi hvi
The former First Daughter Chelsea and husband Marc married in 2010 and celebrated their special day with 400 close friends and family in a small town in upstate New York called Rhinebeck. The bride wore a dress made by Vera Wang, who was also a guest, Bill and
Hillary wore Oscar de la Renta. Although their guest list was fairly large, there were a small amount of celebrities, but a large number of congressmen and congresswomen. Despite rumors that the couple were seeking a divorce in 2012, Chelsea and Marc are still happily married.