Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,107
Wii akeIpogolo????![]()
![]()
![]()
Wii akeIpogolo????![]()
![]()
![]()
AaaahHahaaaaa na ndio napita Muda huu napanda juu
Na dar leo Kuna baridi, tangu asubuhi jua hakunaHuku ni poa sanaaaa.. Tunakomaa na baridi tu
Hivi wanakuuliza ufuta kwani we na kilimo wapi na wapi??![]()
![]()
![]()
Clijuiiiii
![]()
![]()
Duuuu... Masweta yanahusika hapoNa dar leo Kuna baridi, tangu asubuhi jua hakuna
Yah nmetoka njombe so ndio naingia town hapa...Aaaah
Kuna gari unapata mida hii!!?
Sweta kwa dar ni adhabuDuuuu... Masweta yanahusika hapo
DaaaahYah nmetoka njombe so ndio naingia town hapa...
Yap mkuu ntakuwa hapa kwa wiki nzima...Daaaah
Pole na safar, so unalala town apo ee!!?
Yamekuwa hayo![]()
![]()
![]()
Una misele balaaYah nmetoka njombe so ndio naingia town hapa...
DaaahYap mkuu ntakuwa hapa kwa wiki nzima...