Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Ajali tu ndugu....lkn ninavyowajua wazungu watadai fidiaHiyo ni aibu ya kampuni zinazowadhamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Ajali tu ndugu....lkn ninavyowajua wazungu watadai fidiaHiyo ni aibu ya kampuni zinazowadhamini
Mshakua ndugu tena[emoji28]Kwanini wauliza hvyo sweet binam ake Jimenna?
Kubwa sanaNi fedheha sana kwakweli hawako makini wana lao jambo lazma...
Vitumbua njeeeeeeeKubwa sana
Quigley ni kaka yangu...[emoji17] [emoji26]Mshakua ndugu tena[emoji28]
Lakini wanapiga mkwanja mrefuJamani
Maana huyo dada wa tenis inaonyesha amedhamiria kabisa...hata pichu hajavaa jamani na alijua fika kamera zitamchukua. Anawatega watazamaji kama wakina wewe!![emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]Lakini wanapiga mkwanja mrefu
Vilevile huko Ulaya ht kupiga picha za uchi sio ishu
Hivyo ikitokea ajali km hizo wanamichezo wengine wala hawajali
.............
HeheheeheQuigley ni kaka yangu...[emoji17] [emoji26]
Undugu umeanza tangu siku ya kwanza kabisa naingia humu...tukaanza kuitana kaka na dada [emoji102]Heheheehe
Weee!!!
Mmeanza lini undugu
Ndo maana nimesema huko kwao kupiga picha za uchi sio ishuMaana huyo dada wa tenis inaonyesha amedhamiria kabisa...hata pichu hajavaa jamani na alijua fika kamera zitamchukua. Anawatega watazamaji kama wakina wewe!![emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]