Makapuku Forum

Makapuku Forum

Heshima haipatikani kwa kuheshimu wengine bali kwa kujiheshimu mwenyewe ni km mtu anayekazana "shikamoo" .....hiyo haikupi tiketi ya kuheshimiwa ni km vile ukijipenda utapendwa
...............

Ninachomaanisha, ni kuwathamini wengine na kujali...ndio tafsiri ya neno heshima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nazani anamzungumzia Cr7 huyu
1471034795953.jpg
na anayeongozwa kwa kulipwa mshahara mrefu kuliko wanasoka wote funiani

Wachezaji 10 wanaolipwa mshahara mrefu kwa sasa duniani.
 
Back
Top Bottom