Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,283
Niko naye hapa ngoja nimwiteSwetiepie yuko wap mkuu!!?
Niko naye hapa ngoja nimwiteSwetiepie yuko wap mkuu!!?
Kesho wataanza kuonyesha hyo saa 11 mechi kati ya Everton vs TottenhamTv1 watakuwa wakionyesha mechi ya saa. 11 kwahiyo hakuna jipya coz hata CRTV wanaonyeshana
Yaani kamechi kalekale ka1 stesheni mbili
Bora wangechukua ya saa 1:30
Foolish
............
Hiv enzi za bwana isaac newton camera zilikuwepo kweli!!?Sio zao.
Picha zao halisi hakuna zile ni za waigizaji tu
Vibanda umiza vitajaa km kawa hakuna ht siku moja game ya maana mfn ht ya Arsenal v Everton kuchezwa Jumamosi saa 11Ziro kabisa
We jipe moyo tu. Wakati mchawi Mussolin5 amekaa sehemu flani hiviView attachment 380515anatucheka kwa dharau

Saa ht CRTV wanaonyeshagaKesho wataanza kuonyesha hyo saa 11 mechi kati ya Everton vs Tottenham
Mm waonyeshe au wasionyeshe.. kama kawaida nitaenda ktk vibanda umiza kulipia jero zangu kama kawaSaa ht CRTV wanaonyeshaga
Hakuna jipya labda ziwe mechi tofauti
Usiwe ndezi
...........

Ronaldo yupi kwanzaGombaneniii ila siku ikifika mi nafanya kama Ronaldo vile

Ndo mpangoMm waonyeshe au wasionyeshe.. kama kawaida nitaenda ktk vibanda umiza kulipia jero zangu kama kawa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Superr.. Aminia mzee wa mastoriMimi ni dictator wewe hvyo ni lazima wafwate nitakachosema mimi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa mkuuMkuu kwa wale waislam wenye msimamo mkali hawapendi hata filamu zinazo igiza maisha ya mtume
Hairuhusiwi kabsa kumchora mtu na kumfanya ndo mtume, hata Yesu na Musa haruhusiwi kuchorwa au kuekwa picha dhahania
HahahaNiko naye hapa ngoja nimwite
Arsenal juma piliiiiVibanda umiza vitajaa km kawa hakuna ht siku moja game ya maana mfn ht ya Arsenal v Everton kuchezwa Jumamosi saa 11
Matangazo kibao kumbe ubwege tu
Kesho wanaonyesha Spurs v Everton ht mucheki uvivu
Halafu Man City atacheza 1:30
............
Anasinzia kaegemea kifuani mkuuHahaha
Mleteeee
Hhmm.. Hyo 1. Mie simo wala sisapoti..FIX ZA BITOZ:
1/Bitoz nyangema=Bitoz mkuu/Mungu wa matozy
2/Bitoz mshua=bitoz aliye smart kimavazi hadi mfukoni
3/Bitoz pori= huyu hakuna anachojua zaidi ya kuvaa nguo matakoni tu
4/Bitoz kaoge=huyu mlainilaini hadi anapakatwa
5/Bitozkisketi=huyu ana mambo ya kike lkn siyo kaoge mfn anavaa vihereni .kipini n.k
![]()
![]()
![]()
![]()
********""""""""""""****
Full fixture ninayoArsenal juma piliiii
Na man u
Kesho sina mda nao hao