Hahaha
Puti mwenzio kawanyang'anya Ukraine jimbo zima
Rais wa uturuki jana kasema wanaenda kufanya mazungmzo yeshe
Assad mpaka sasa yuko ikulu kwa msaada wa Putin
Ndo ukweli huo hata sura yangu ni ya upole sinaga ugomvigomvi na mtu na ucheshi unaonekana ht hapahapa KF
Kumbuka sio kila mfungwa ana kosa
................