Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kale katoto a korea kamekua pale pale Ikulu ila sahivi toka ajue kunyoa panki hatusemi.

Putini nae kidege chake kilitunguliwa na Uturuki akashindwa hata kulipa kisasi zaidi ya kuongea maneno yasiyo na tija tu kama dalali
Hahaha
Puti mwenzio kawanyang'anya Ukraine jimbo zima
Rais wa uturuki jana kasema wanaenda kufanya mazungmzo yeshe
Assad mpaka sasa yuko ikulu kwa msaada wa Putin

Hahahaha
Ngoja tukienda uta mcheki
 
1470859528707.jpg
 
Hahaha
Puti mwenzio kawanyang'anya Ukraine jimbo zima
Rais wa uturuki jana kasema wanaenda kufanya mazungmzo yeshe
Assad mpaka sasa yuko ikulu kwa msaada wa Putin

Hahahaha
Ngoja tukienda uta mcheki
Ukraine washamba
Vile videge vyake vilivyotunguliwa alifanya nini zaidi ya maneno mengi tu kama dalali??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom