shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Tutafunguliwa mashitaka ya uchochezi eehee,basi tuacheAmesema hataki utani. Mimi simo mkuu sitaki uchochezi.
Tutafunguliwa mashitaka ya uchochezi eehee,basi tuacheAmesema hataki utani. Mimi simo mkuu sitaki uchochezi.
Haha usiogope mkuu haina mbaya hata kama una share mbona halijaharibika nenoPoa wakona mambo mazuri sana.
Ila sina share nao hata kidogo isije ikaonekana nawapa promo.
Niliwajibu kiutani tuAmesema hataki utani. Mimi simo mkuu sitaki uchochezi.
Black huwa haimtupi mtuBrown and Black
Mchawi nikimkaribia ghafla husogea mbele kiaina.Halafu mfanyie kazi mchawi... Kile kiwingu hakipendezi kabisa
Kwahiyo hicho ulichopost ni chako?Poa wakona mambo mazuri sana.
Ila sina share nao hata kidogo isije ikaonekana nawapa promo.
We ndezi tutaniane km kawaTutafunguliwa mashitaka ya uchochezi eehee,basi tuache
Hizi ni swaga zetu makapukuzWe ndezi tutaniane km kawa
...........
Sasa sio unatuaga afu unapiga u-turn ukiona 78999Goodnight fellaz naona 79k around the corner![]()

Nite papaaGoodnight fellaz naona 79k around the corner![]()
Ni lazima atoke afe mtu afe mmasaiMchawi nikimkaribia ghafla husogea mbele kiaina.
ila ntamtoa tu.
Harafu wewe ndio mpiga picha, na maelekezo unatoa wewe, cheka kidogo
Huyo
wifi yangu kwa Bitoz picha umeipata wapi?