Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sasa jeHomaya nchi hyo.
Sasa jeHomaya nchi hyo.
Sinza makaburini, duka linaitwa Good looking store.Nlitaka kujua location ya duka tu mkuu au unafanya online home delivery
Sijui kama atafurukutaNamsubiria ajibu nimpe fact nyingine.
Mkuu kwema?
Nimekuwa supastaa now(RAIS)Sasa hivi havui? Au kwa sasa ni kocha wa wavuvi
Brown and BlackUna rangi gani na gani?
Ha ha ha kambale wanamtambuaSasa hivi havui? Au kwa sasa ni kocha wa wavuvi
hahaha...
Tunazungumza kwa sasaMwaka Jana tu tumechukua FA
Mkuu menda kalale kesho Jumatatu japo sio Blue monday.Siondoki hapa..
Hapo sasa ndo umenena chiefSinza makaburini, duka linaitwa Good looking store.
Ndio maana yake
Mi nishakuwà "member mzito"Yaishe mkuu, nilikuwa nachomekea tu.

Cc mussolinNimekuwa supastaa now(RAIS)
Sifanyi tena huo ujinga
![]()
![]()
![]()
..........
Poa wakona mambo mazuri sana.Hapo sasa ndo umenena chief
Kesho utanipa ushuhudaSiondoki hapa..
Amesema hataki utani. Mimi simo mkuu sitaki uchochezi.Cc mussolin
Halafu mfanyie kazi mchawi... Kile kiwingu hakipendezi kabisaYaishe mkuu, nilikuwa nachomekea tu.
Joking.....not serious