Makapuku Forum

Haha malaika moja hiyo nabadilisha tu recipe za sato.. nimemaliza wa mchemsho anakuja mwingine wa kuchoma [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa kijana kula vitu but uwe makini na mademu wa mwanza ni noma, wanashirikiana na watoto wa mbwa yaani chokoraa, watakomba kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…