Ttzo siyo kuto lala ttzo ni kuto pata usingiziWaambie mkuu, vijana hawajapitia depo wanabisha, lazime upitie zoezi la kutolala hadi wiki kadhaa, ni sehemu ya mazoezi
Hehehehe nimecheka sanaaaMi siwataki hao mkuu, hivi hakuna second version ya Jimena tugawane??
Shikamoo kaka brizDah basi kama ni hivyo mi niko tayari tumkate katikati usawa wa kiuno afu mi ntachukua upande wa chini please [emoji4] [emoji4]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] shululu umetisha sanaHapana, amemiss mwandiko wa jimena
HahahahaWatakuvua komunio zote
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
Hii ni kweliKuna skendo nyingi makanisani ....huzimwa kimyakimya kutunza HESHIMA YA KANISA
..............
Unakuwa kauzu kuliko dagaaUkimaliza six weeks basi ujue roho ya kiraia ishakutoka.
Kwa maneno haya mjadala umeisha....huwezi kukaa siku mbili bila kulalaInafika kipindi mtu anaenda chooni kukata gogo basi analala huko japo kwa robo saa pamoja na harufu ya chooni lakini watu hawajali.
Heee! Papaa, mbona hatuambiani??We koma!
Szczesny hajui habari za kumunioHahahaha
Komunio uwiiiiiii
Utasinzia ck za mwanzo, kadri ck zivyozidi, usingizi unafbaa, utafeel kama uko dunia nyingine kabsaaTtzo siyo kuto lala ttzo ni kuto pata usingizi
Watu uwa hawa lali ila wana oata usingizi na wana snzia ki aina
+ ubatizoHahahaha
Komunio uwiiiiiii
Mzee wa fix, unataka fix ziwe ndo ukweli eee[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa maneno haya mjadala umeisha....huwezi kukaa siku mbili bila kulala
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
...............
Sikujua kama sitakiwi hata kumsikiliza,Yaan umeanza kumskilza briz!!!
Mkuu niadje pande hizo?Shikamoo kaka briz
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sana Mkuu JJ.
Baada ya kumaliza tu doso, watu walipiga picha yaani ni vituko.
kama makatuni.
Poa sana mkuuMkuu niadje pande hizo?
Mchafuzi hyoooSikujua kama sitakiwi hata kumsikiliza,
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ana wivu, jilinde asije jinyonga ukasaidie polisi dadakeSikujua kama sitakiwi hata kumsikiliza,