Makapuku Forum

Number 2, Oasis of the Seas, Allure of the Seas (urefu-mita 362, uzito-tani 225,000+ , gharama 1.2-1.4 billion $, uwezo- abiria 8200+)
Hizi ndo cruz kubwa zaid duniani kwa sasa ni meli pacha ambazo hufanya kazo zote huko Carribean na hupendwa na watu kwaa ajili ya fungate, mapumziko, likizo na kuimarisha ndoa zina kila aina ya huduma ambazo binadamu ana zihitaji(ikiwemo sehem za michezo na starehe)
Nilipanda mwaka 2014 hzo ilikuwa poa sana
 
Number 1, Pioneering Spirit ( urefu-mita 382 , uzito- tani 403,332, gharama-1.7 billion $, Crew- watu 571)
Ki ukweli ukiangalia uzito hapo wa hyo meli n balaa na naskia imetengenezwa kwa kina jumong huko South Korea

Ni meli ya mizigo tuu, detail zake zaid sina ila we ukiulizwa meli kubwaa zaid jua ndo hiyo
 
Si kazi rahis kuleta kitu kama hii
Ahsanten kwa kunivumilia na kuchangia na hata kutochangia pia

Nawakubali woote kwa sapot yenu

Nilmo chapia tusameheane macho yana niuma sanaa yaan nalazmishia tuu hapa
 
Si kazi rahis kuleta kitu kama hii
Ahsanten kwa kunivumilia na kuchangia na hata kutochangia pia

Nawakubali woote kwa sapot yenu

Nilmo chapia tusameheane macho yana niuma sanaa yaan nalazmishia tuu hapa
Mkuu hongera na ulifit sana hata kuwa nahodha maana umejitahidi sana kwa maelezo na ufafanuzi wa hizo meli hapo juu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…