Unaufahamu vizuri utelezi wa ganda la ndizi? Ndivyo ilivyokuwa [emoji3][emoji3][emoji3]Mm nikishinda huwa najisifia kweli kweli..
Sisubiri mnipe sifa ninyi.
Kwani hyo yako haikuwa na ushindani au ikikuwa vp?
Sasa kumbe vepeHata nyuma hatugeuki kabisa, sisi ni mbele kwa mbele
Nzuri, za wewe mkuuHabari zenu wapendwa?
Safi tu mkuu, mambo vp pande hizo?Nzuri, za wewe mkuu
Nzuri, habari ya jumatano?Habari zenu wapendwa?
Ni njema sana, mnatunyima nini pande hizo??Nzuri, habari ya jumatano?
Hebu nipe sifa zangu.... Acha kunibaniaUnaufahamu vizuri utelezi wa ganda la ndizi? Ndivyo ilivyokuwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Cc Jimena
Yako poa kabisaSafi tu mkuu, mambo vp pande hizo?
Nimemaanisha uliteleza nayo kama ruud van nistelrooy golini.. Hivi ntaanzaje kikubania sifa zako kwa mfano? Si unajua kabisa ntafeli [emoji4] [emoji4]Hebu nipe sifa zangu.... Acha kunibania
Fanya hivyo mkuu tunaisubiri hapaTop 10 itakuja baada ya dakika 3
Ahsanten
Hapo sasa umeongea vyema hadi nimefurahiNimemaanisha uliteleza nayo kama ruud van nistelrooy golini.. Hivi ntaanzaje kikubania sifa zako kwa mfano? Si unajua kabisa ntafeli [emoji4] [emoji4]
Tusisahau kumshukuru muumba kwa wema huuYako poa kabisa
AaaahNimemaanisha uliteleza nayo kama ruud van nistelrooy golini.. Hivi ntaanzaje kikubania sifa zako kwa mfano? Si unajua kabisa ntafeli [emoji4] [emoji4]
Umeanza sasaAaaah
This z nat gud