Makapuku Forum

Kila chakula kina faida zake na hasara zake. Chips zina calories nyingi ila kama utakula kisha ukafanya mazoezi kidogo kuburn zile calories zilizozidi it's okay.
Ili kuwa na afya bora unahitaji kula aina zote za vyakula
Super.. Umeongea kiufundi

Michael ballack fundi mmoja wa kijeruman, aliwahi kusema msos anaoupenda zaid ni mchanganyiko wa chipsi,njegere sjui na mazagazaga gani, kitu pekee ninachokupunga aliorodhesha chips kwenye mchanganyiko wake, alinivuruga maana najua chipsi si kitu kizur
 
Hapo unaruhusiwa coz hiyo ndoa ni ya kisirikali unaruhusiwa kutoa talaka.
 
Bush mtoto ndo shda
Akisaidiwa na cheney
Dick Cheney nae alikuwa moto wa kuotea mbali.

Halafu hapo umemsahau Donald Rumsfeld, Waziri wa Ulinzi nae alikuwa ana roho mbaya.

Bush alikuwa na timu ya makatili, ila Bush Mkubwa alikiwa katili yeye kama yeye!!

Vita vya Ghuba ni moja ya sababu iliyomfanya awe Rais wa kipindi kimoja, kwani aliyofaitiana na wengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…