Number 6, Millard Fillmore - siku 969 View attachment 374569 alikaa ofisini mnamo July 9, 1850 – March 4, 1853
Huyu bhana yeye alimalizia kipindi cha rais Taylor kwa kuwa alikuwa makamu wa rais. Yeye alipiganiania na aka pata kuwa mgombe wa Whig mnamo mwaka 1852, lakin dakika za mwisho Winfield Scott alimshinda na kupata kuwa nominee wa whig
Yeye alikuwa ana sisitiza umoja na kilicho muua kisia ni kite do cha kutaka kuipotezea maada ya watumwa kujadiliwa kwnye forum za kitaifa
Shughuli zinaendaje huko?Poa mkuu
Mungu anasaidia kazi zinasongaShughuli zinaendaje huko?
Na wanautumia haswa..Number7, John F Kennedy -siku1,036 View attachment 374563 alikaa ofisin mnamo January 20, 1961 – November 22, 1963
Aliuwa akiwa kwenye ziara ya kikazi huko Texas, huyu ni one of the most celebrated preaidents huko US tuna kumbuka msemo wake wa siku aliyo apishwa unao sema
"Usiulize nchi yako imekufanyia nini bali jiulize umeifanyia nn nchi yako" msemo ambao kila kiongozi huutumia ku defend uzembe wake
Aliishi maisha yake muda mwingi akiwa mgonjwa na alifariki mapema pia
Number 5, Gerald Ford -siku 895 View attachment 374575 alikaa ofisin mnamo August 9, 1974 – January 20, 1977
Huyu yeye aliupata urais kwa bahati sana na hakuwahi hata kuwaza jama angekuja kuwa rais kwa ngekewa hivi
Ilikuwaje!!?
Alikuwa ni seneta na kiongozi wa maseneta wa Republican, mnamo mwaka 1973 skendo ya watergate ilitokea na kumfanya makamu wa rais wa marekan bwana Spiro Agnew kujiuzulu kwa makosa ya rushwa na mengineyo, sheria ina mtaka kiongozi wa chama kwenye senate kushika umakamu wa rais ikiwa makamu ata aachia kiti kwa hiyo ikabidi rais nixon amteue na akawa makamu wa rais
Mnamo mwaka 1974 august presha ilivo kuwa kubwa rais Nixon naye aka jiuzulu na kwakuwa bwana ford alikuwa ndio makam wa rais ikabidi abadili na kuwa rais
Mwaka 1976 aligombea urais lakin akapigwa chini vibaya na ndugu Jmy Carter kwani wana nchi walikasirika alipo msamehe bila mashtaka yoyote Rais mstaafu Nixon
TwipoMupo tu
.........
Number 4, Warren G Harding siku 881 View attachment 374580 nukuu take ya ki inglish ina semaa
" In Office: March 4, 1921 – August 2, 1923
Died in his first term. In April 1921, speaking before a joint session of congress he called for peacemaking with Germany and Austria, emergency tariffs, new immigration laws, regulation of radio and trans cable communications retrenchment in government, tax reduction, repeal of wartime excess profits tax, reduction of railroad rates, promotion of agricultural interests, a national budget system, a great merchant marine and a department of public welfare" huyu alikufa akiwa rais anaye pendwa zaid kuliko hata alipo ingia madarakani
Number 3, Zachary Taylor - siku 491 Days View attachment 374583 alikaa kunako ofisi mnamo March 4, 1849 – July 9, 1850 yeye nnacho jua alianguka tuu na kufariki akiwa ikulu mengine sijui
Mtatafuta wenyewe, jueni tuu alikaa kidogo sana
Number 2, James A Garfield-siku 199 View attachment 374591 alikaa ofis ya rais kunako March 4, 1881 – September 19, 1881
Marekani ya kipindi hiki ilikuwa ina mtindo mmoja watumishi wa umma hawakuwa permanent
Yaan Rais akiingia alikuwa ana badilisha kuanzia wafanya kazi wa ikulu mpaka wafagiaj wa barabara za vijiji, hivo uongozi wa nchi ulibadilika kabisaaa karibu kila baada ya miaka mi 4
Marais hawakuangalia umesomea nn, wahariri wa magazeti walioewa kazi za ma injiania, walio soma sheria wali pelekwa kusimamia hospitali yaan kila mtu akiye muunga mkono rais mpaka ngazi ya mtaa alipewa ka uongozi kake
Kwa hiyo watu walikuwa ukiingia uongozi mpya wana poteza sana ajira zao na ndiyo hili lili mtokea bwana Charles Julius Guiteau, ambaye alikuwa mtumishi wa posta na alipoteza kazi mara tuu baada ya bwana Garlifield kuwa rais kwani rais moya aliweka kwenye kila ofisi watu wapya hasa wa chama chake cha Republican ndiyo sasa mnamo July 2, 188 saa 3,na nusu asubuhu , bwana Charles kwa hasira ya kukpoteza kibarua chake akaamua kumpiga risas Rais na kumfanya rais asifikishe hata miez mi 4 akiwa madarkani
Baada ya kifo cha Garfield ndiyo wabunge waka rekebisha sheria na kusema wafanyakazi wa serikali wawe permanent ili kuepusha mabalaa mengine
ADIDAS - All Days I Dream About Sports.Dah..... Angalau kapukuz wamepata ilm
Nuber 1, William Henry Harrison-siku 31 View attachment 374602alikaa ofisini mnamo March 4, 1841 – April 4, 1841
Ndiyo rais pekee kukaa madarakani ndani ya mwezi mmoja
Siku ya kuapishwa kwake ali toa koti lake na kuhutubia nje kwenye barafu na baridi kali kwa masaa ma 3
Kutokana na hilo alianza kuapata vichomi na baadaye akafa kwa pneumonia
Alikuwa ndo rais wa kwanza kufariki akiwa madarakani
Na rais wa mwisho aliye zaliwa uingereza kuitawala marekani
Wana sema hakuwa tajiri yaan alikuwa maskini kweli kweli na alioenda sana haki na uongozi tuu na alivo fariki mkewe alipata shida sana na ndipo ilipo pitishwa sheria ya kuwasaidia familia za marais wastaafu
Huyu kwangu ndio Rais ninayemkubali kwa U.S.ANumber7, John F Kennedy -siku1,036 View attachment 374563 alikaa ofisin mnamo January 20, 1961 – November 22, 1963
Aliuwa akiwa kwenye ziara ya kikazi huko Texas, huyu ni one of the most celebrated preaidents huko US tuna kumbuka msemo wake wa siku aliyo apishwa unao sema
"Usiulize nchi yako imekufanyia nini bali jiulize umeifanyia nn nchi yako" msemo ambao kila kiongozi huutumia ku defend uzembe wake
Aliishi maisha yake muda mwingi akiwa mgonjwa na alifariki mapema pia