Asante sana mkuuPoleni sana
Sikuwashtua mapema hivyo nikawazidi kete, pale nilipowashtua nilikuwa nimeshahakikisha kuipataHaha mwenyewe nimejiuliza Mussolin5 kakuachiaje karahisi hivyo
basi sawaa naunga mkono hojaNdio na ianze kudhamini segment mbali mbali toka 91k mpaka itakapogota
akina Asano hao
Asante.. Haya mambo ni kupeana kampani tu hakuna namnaPoleni. Hakika huo ni msiba mkubwa sana, uwe nae karibu ili walau ajisikie vizuri
Jezi zipo poaakina Asano hao
ameotea tuuHaha mwenyewe nimejiuliza Mussolin5 kakuachiaje karahisi hivyo
Haha naona speed yako inazidi kupungua tu kadri siku zinavyokwenda.. Hii inamaanisha kwenye 100k huna chako [emoji4] [emoji4]ameotea tuu
Waione na wadau wengine ambao wataguswa basi na wafanye hivyobasi sawaa naunga mkono hoja
Kabisa.Asante.. Haya mambo ni kupeana kampani tu hakuna namna
Jipe moyoameotea tuu
Huyo haina haja ya kumshtua mana ukimshtua tu anapiga tiktak, ulifanya vyema [emoji4] [emoji4] , uwe unamtag tu SzczesnySikuwashtua hivyo nikawazidi kete, pale nilipowashtua nilikuwa nimeshahakikisha kuipata
Afadhali na wewe umeliona hili.Haha naona speed yako inazidi kupungua tu kadri siku zinavyokwenda.. Hii inamaanisha kwenye 100k huna chako [emoji4] [emoji4]
Ni kweli, sasa leo kaenda wapi? Au ndo kwa yule jirani yake anaefutaga mpaka picha kwenye simu yake?Huyo haina haja ya kumshtua mana ukimshtua tu anapiga tiktak, ulifanya vyema [emoji4] [emoji4] , uwe unamtag tu Szczesny
Poleni sana,mpira dk90tumepigwa la pili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jirani gan anajua pattern na anaingia kwenye gallery mida ya usiku? Ngoja aje mwenyewe hapa ajibu hizi tuhumaNi kweli, sasa leo kaenda wapi? Au ndo kwa yule jirani yake anaefutaga mpaka picha kwenye simu yake?
Hata mimi sijawahi kuelewa hili swala kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jirani gan anajua pattern na anaingia kwenye gallery mida ya usiku? Ngoja aje mwenyewe hapa ajibu hizi tuhuma
Cc Szczesny
Kwahiyo mpaka sasa mpira ni ngapi ngapi?Poleni sana,mpira dk90
Mbona hutupi updates Leo?Naangalia LIVE
.........................