Gazza ndo kasababisha Rooney aitwe WAZZAMungu mtu mwingine pale Spurs ni Paul Gascoine " Gazza "
Ni mwingereza aliyekuwa na kipaji cha hali ya juu sana.
Ila Pombe ikaja kumpoteza.
Media zinawabeba ila siku zote mpira ni magoli / ushindihahaha...ahsante sana!!
Tatizo wanapambwa sana na Media.
Kilichonifurahisha ni haya maneno,
Kabla sijapiga hodi tayar nlikuwa nimeshasoma hizo posts.....Nenda kasome page 1 post 1-3 ukijiridhisha utawekwa kwenye list
Cha msingi support ukapuku
Karibu
........,.
Jamaa alikuwa anajua mpira huyo, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga uwanja mzimaView attachment 373276View attachment 373277
Hii ndo mechi aliyofungisha
Ilikuwa dhidi ya Bulgaria km sikosei......ndo ikawa mechi yake ya mwisho kuchezea Ufaransa
Ana bahati sana wange muESCOBAR
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
KaribuKabla sijapiga hodi tayar nlikuwa nimeshasoma hizo posts.....
swadaktaKaribu
Jichanganye
Jimena hujambo [emoji85]Karibu
Jichanganye
Niko safi kabisa, mambo vipi?Jimena hujambo [emoji85]
Poa poa kabisaNiko safi kabisa, mambo vipi?