Hawa wanajua kupanga sauti acha mchezoNumber 1, The Beatles – 265 Million View attachment 373066 una faham neno bitoz lilitokea wapi wewe!!!?
Hawa jamaa walikuwa ni vijana watanashati, wanao vutia na wasafi (japo si WCB) na watu walio kuwa na pigo hzo ndo waliitwa ma bitoz ku reflect bendi hii ilivo kuwa so vijana wengi wa kipind hiko walijiita ma bitoz
Hawa walikuwa wana uza nakala za miziki yao zaid hata ya bible
Wanaongoxa kwa nyimbo zao zaid ya 20 kufika namba 1 kwenye chati mbali mbali dunuani
Wanakadiriwa kufika nakala 300 milion officially miaka ya karibuni kama wakiendelea kuuza kwa mwendo wano endelea nao zaid
Huyu aliwahi kuwa baba mkwe wake Michael Jackson, binti wa Elvis Presley aitwae Lisa alifunga ndoa na Michael japo ndoa hiyo haikuweza kudumu
Picha mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Mzuri, ana sauti nzuri kabisa na akitabasamu hutapenda amalizeMimi yaan nna mluv kabsa
Shukrani sana kwa kumi zenye akiliMlikuwa nami De la Casa De la Fuma
Adious amigooouw
Ilikuwa inafanyikia wapi?Wakuu eti kumbe leo kulikuwa kuna party ya wana jf!!?
Hehehehe
Hata nlikuwa sijui
Aaah
Nsnge enda anyway
Walikuwa wanapendezeana sana
Ni poa sana shululu, wikend imeanzaTuko poa,za siku mbili tatu hivi
Alikua anajichanganya sana mpaka anapitilizaAlikuwa asisikie msiba.....huyooooo utafikiri hana wawakilishi
Bongo muvi yumo
Polifix yumo
Mpira yumo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Na kweliMichael alikuwa mtu wa pekee kwenye hii tasnia, mi sijawahi kusikia wimbo wake mbaya, nyimbo zake zote nazipenda zikiongozwa na will u be there
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanazuga wkt wapo makwao wanakula maandazi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..............
Yes kweli una mjua MichaelHuyu aliwahi kuwa baba mkwe wake Michael Jackson, binti wa Elvis Presley aitwae Lisa alifunga ndoa na Michael japo ndoa hiyo haikuweza kudumu
Sasa kibongobongo huko kwenye maconcert ndo inawalipa zaidi(kulingana na maelezo yao lakin)Leo najua wengne mntaenda kwenye kumbi mbali mbali na kujimwaga kdogo na muziki
So najua wata zania huwa hatununui sana kazi za wasanii labda kwenda huko ukumbini
Huyu mama anazeeka na sauti yake kama amemeza yai bichi vile, ile sauti ya kumtoa nyoka pangoniHata mi namkubali sana mwanamama huyu
Imeanza Jana jioniNi poa sana shululu, wikend imeanza
Mkuu ahsante sana!!Number 1, The Beatles – 265 Million View attachment 373066 una faham neno bitoz lilitokea wapi wewe!!!?
Hawa jamaa walikuwa ni vijana watanashati, wanao vutia na wasafi (japo si WCB) na watu walio kuwa na pigo hzo ndo waliitwa ma bitoz ku reflect bendi hii ilivo kuwa so vijana wengi wa kipind hiko walijiita ma bitoz
Hawa walikuwa wana uza nakala za miziki yao zaid hata ya bible
Wanaongoxa kwa nyimbo zao zaid ya 20 kufika namba 1 kwenye chati mbali mbali dunuani
Wanakadiriwa kufika nakala 300 milion officially miaka ya karibuni kama wakiendelea kuuza kwa mwendo wano endelea nao zaid
Nilitaka kujua tu nani zaidiAaah
Jimena ni level ambazo halinganishwi na mtu yyte
Hivi Adele pamoja na kuuza kote kule kumbe hayumo hata kwenye 10 bora??Haahahaa
Umeanza sasa fujo.
Maria hata nikimpenda siwez kufanya chchte