Number 2, Elvis Presley – 210 Milion View attachment 373064 uyu simply ana itwa "The King" huyu bdiye msanii wa kwanza kabsa kuuza nakala zaid ya milion 200 zilizo thibtshwa na hapo uthibitsho ulianza mwaka 1958 ukiacha album nyingi tuu ambazo aliuza sana
Huyu ndiye msanii anaye ongoza kwa kupata tuzo nyingi za album bora kuliko wasanii wote dunian
Mimi yaan nna mluv kabsaHata mi namkubali sana mwanamama huyu
Njema kabisaEeeh
Mzee ya hijabu uko njema!!?
HaahahaaNa jimena je?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Number 1, The Beatles – 265 Million View attachment 373066 una faham neno bitoz lilitokea wapi wewe!!!?
Hawa jamaa walikuwa ni vijana watanashati, wanao vutia na wasafi (japo si WCB) na watu walio kuwa na pigo hzo ndo waliitwa ma bitoz ku reflect bendi hii ilivo kuwa so vijana wengi wa kipind hiko walijiita ma bitoz
Hawa walikuwa wana uza nakala za miziki yao zaid hata ya bible
Wanaongoxa kwa nyimbo zao zaid ya 20 kufika namba 1 kwenye chati mbali mbali dunuani
Wanakadiriwa kufika nakala 300 milion officially miaka ya karibuni kama wakiendelea kuuza kwa mwendo wano endelea nao zaid
Umefanana naoView attachment 373076View attachment 373077View attachment 373078
Nimerithi jina lao
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............
Picha za thrillerWakuu kuwen makini weekend hii
Hasa mlioko gest au mko na wa toto wa watu maghetoni halaf kwao hawana taarifa
Lolote laweza tokea so muwe makini na mtumie ngao ya hisani
Nawatakia wikend njema na ahsanten kwa kufuatilia kwa makin segment hiii be blessed
Ila bitoz picha za Michael umemuonea umeleta midoli
Asante sanaMlikuwa nami De la Casa De la Fuma
Adious amigooouw
HahahaAsante sana
Party ya vingongo haina ht hela vipo bize kupiga story kwenye hiyo threadWakuu eti kumbe leo kulikuwa kuna party ya wana jf!!?
Hehehehe
Hata nlikuwa sijui
Aaah
Nsnge enda anyway
Mi naupenda wimbo wake unaoitwa NIKITANumber 5, Elton John – 162 Million View attachment 373044mzee wa sacrifice,mzee wa nyimbo kali za mapenzi na za taratibu huyu ni msanii solo ambaye kauza zaid uingereza ni mtengenezaji wa kazi ya sanaa ilo uza zaid uingereza akishka namba mbili nyuma ya the beatles
Mnamo mwaka 1997 wimbo wake wa “Candle in the Wind,” uliuxa nakala 33 milioni ni singo pekee kuuza zaid duniani
Lakin pia huyu ana yale mambo ya kina james delicious au kaoge wa zamaradi kwa hiyo mimi huwa na pretend kama ha exist duniani na leo na pretend kama nme toa top 9
Madonna ni crazyNumber 4, Madonna – 166 Million View attachment 373051yuko kwenye kitabu cha rekodi za dunia kwa kuwa msanii wa kije aliye uza nakala nyingi zaid duniani na pia yeye ana dai kauza nakala zaid ta milioni 200 lakin vyeti vya masoko vinaonesha kuwa ana pungua kidoogoo kwenye nakala 170 milioni
Wako kwenye party huku wana chat kila tymParty ya vingongo haina ht ile vipo bize kupiga story kwenye hiyo thread
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Michael alikuwa mtu wa pekee kwenye hii tasnia, mi sijawahi kusikia wimbo wake mbaya, nyimbo zake zote nazipenda zikiongozwa na will u be thereNumber 3, Michael Jackson – 175 Million View attachment 373056 king of Pop , the best that ever was, kwangu ni msanii bora wa muda woote na hakuna atakaye kuja kufanya nibadili admiration yangu kwake
Japo familia yake na washabiki wake wana sema aliuza zaid ya nakala milioni 400-750 wataalam wana sema hapo wamezidisha
Huyu ni msanii aliye toa album bora kuliko zote dunian katika mauzo (Thriller), video ya music iliyo uzwa sana kwa muda wote, na pia ni mwana muziki akiye pata tuzo nyingi kuliko woote walio pata kuwapo.
Michael kwangu ni zaid ya msanii
RIP Michael[emoji24]
Wanazuga wkt wapo makwao wanakula maandaziWako kwenye party huku wana chat kila tym
Au hiyo ni mute party
Huyu aliwahi kuwa baba mkwe wake Michael Jackson, binti wa Elvis Presley aitwae Lisa alifunga ndoa na Michael japo ndoa hiyo haikuweza kudumuNumber 2, Elvis Presley – 210 Milion View attachment 373064 uyu simply ana itwa "The King" huyu bdiye msanii wa kwanza kabsa kuuza nakala zaid ya milion 200 zilizo thibtshwa na hapo uthibitsho ulianza mwaka 1958 ukiacha album nyingi tuu ambazo aliuza sana
Huyu ndiye msanii anaye ongoza kwa kupata tuzo nyingi za album bora kuliko wasanii wote dunian