Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Mtu wa kupiga misasa...kiungo mkabaji.
Mtu wa kupiga misasa...kiungo mkabaji.
hahaha...mambo ya Ps lazima uwakute!!Huwa najihis kama nipo uwanjan kabisa yaani
Au ukicheza game, commentator s wawe wao.. Kabla game haijaanza unasikia mbwembwe zao kidogo
Leo katika Historia:
1844 - Franz Wolfgang Mozart anafariki.
Alikuwa ni mpiga kinanda, gita na piano kutoka nchini Austria.
Ni mmoja kati ya wapiga piano bora kabisa katika historia ya Ulimwengu.
Pia alijulikana kama Little Mozart.
Leo katika Historia:
2013 - Christian Benitez " Chucho" anafariki Dunia.
Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ecuador.
KaribuOooooouuuuhhhhh forum ipo cool Sana
Km brashMr. Moustache
Schumacher enzi zake zishapita baada ya kupata jangaHuyu ni fundi mwingine wa mbio za langalanga kando ya Schumacher.
Hapo tunasema umejipasia[emoji6]Jimena
View attachment 372597huyu ndo mzuri kuliko woote kwa mwaka 2016, na cha kushangaza ni kwamba si model wala muigizaji ila ni mrembo kuwapita hao woote
Sidhan kama kuna anye bisha
A.k.a kufuliMtu wa kupiga misasa...kiungo mkabaji.
teh teh tehKm brash
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
sana. kwanzia Makelele, Essien, Yaya Toure mpaka N'golo KanteA.k.a kufuli
Weusi hii kazi wanaimudu
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
................
Asante sanaView attachment 372826
Karibu togwa....huku Mabibo Beach inauzwa 200/
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............
Safi sijui weweHabari yako mkuu..
Siyo yale mapazia akina Michael Carrickitisana. kwanzia Makelele, Essien, Yaya Toure mpaka N'golo Kante
Humwambii au hujui[emoji115] [emoji3]Sikwambii ng'o......njoo Uswaz uonje kiudupi ni km mjukuu wa KOMONI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
Mwambie ww mjuajiHumwambii au hujui[emoji115] [emoji3]
KaribuOooooouuuuhhhhh forum ipo cool Sana
Asante saanaSia la ziada tukutane kesho kwa udhamini mnono wa T.M.A.
TGIF!!Asante saana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Hapo tunasema umejipasia[emoji6]