Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
Mbona wa kawaida huyu10. Pia Wurtzbach
View attachment 372573
Miss universe 2015, mwigizaji na mwana mitindo ana tokea phillipiness
Mbona wa kawaida huyu10. Pia Wurtzbach
View attachment 372573
Miss universe 2015, mwigizaji na mwana mitindo ana tokea phillipiness
TunasubiriTop 10
Zna kuja mida si ndefu
Adriana Lima
View attachment 372577
Ni mbrazil na mmoja kati ya wana mitindo wanao lipwa pesa nyingi zaidi duniani akiwa na malipo ya usd milioni 9
Priyanka Chopra View attachment 372580aliwahi kuwa miss world na pia ni muigiza anaye pendwa sana huko india, mnamo mwaka 2015 alipigiwa kura kama mwanamke mrembo kuliko woote huko bara Asia ameigiza movie mbali mbali na sasa ana fanya kazi hollywood pia
Black beauty. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Jimena
View attachment 372597huyu ndo mzuri kuliko woote kwa mwaka 2016, na cha kushangaza ni kwamba si model wala muigizaji ila ni mrembo kuwapita hao woote
Sidhan kama kuna anye bisha
Asante sana, kipa wa zamani wa arsenal (szczesny)Wakuuu
Nimemaliza
Leo nimeleta za fasta fasta i promise kesho bando itakuepo na tuta enjoy zaid
Szczesny Carrenza
Tchao
Uko sahihi kabisaJimena
View attachment 372597huyu ndo mzuri kuliko woote kwa mwaka 2016, na cha kushangaza ni kwamba si model wala muigizaji ila ni mrembo kuwapita hao woote
Sidhan kama kuna anye bisha
KweliJimena
View attachment 372597huyu ndo mzuri kuliko woote kwa mwaka 2016, na cha kushangaza ni kwamba si model wala muigizaji ila ni mrembo kuwapita hao woote
Sidhan kama kuna anye bisha
We are family bando zipo mkuu utapokeaWakuuu
Nimemaliza
Leo nimeleta za fasta fasta i promise kesho bando itakuepo na tuta enjoy zaid
Szczesny Carrenza
Tchao