lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Habari yako mkuu..Y O L O
Habari yako mkuu..Y O L O
Y O L O
Huyu raha Sana..
Huyu raha Sana..
Kumbe ndio kinywaji chako hiyo..View attachment 372826
Karibu togwa....huku Mabibo Beach inauzwa 200/
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............
Hivi togwa ni mchanganyiko wa nini na niniView attachment 372826
Karibu togwa....huku Mabibo Beach inauzwa 200/
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............
Pale juu kuna tatizo pale..
Kumbe ndio kinywaji chako hiyo..
Sikwambii ng'o......njoo Uswaz uonje kiudupi ni km mjukuu wa KOMONIHivi togwa ni mchanganyiko wa nini na nini
Haya bhana..inapatikana wapi hii?
Mabibo BeachHaya bhana..inapatikana wapi hii?
Leo katika Historia:
1921 - Adolf Hitler anakuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi huko Ujerumani
Leo katika Historia:
1967 - Kunatokea tetemeko la ardhi ambalo linasababisha watu takribani 400 kupoteza maisha huko Caracas, nchini Venezuela.
Leo katika Historia:
1883 - Benitto Mussolini anazaliwa.
Ni dikteta aliyeitawala Italy kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo.