shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Namkubali sana huyu Jamaa
Namkubali sana huyu Jamaa
Tomu yake tena!! lazma atambering.Hapo sasa,bitoz umemkosha kabisa
Leo katika Historia:
1990 - Soulja Boy anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka Marekani.
Komredi Chavez!!
Leo katika Historia:
1993 - Harry Kane anazaliwa.
Mshambuliaji wa Tottenham na timu ya taifa ya England.
Watu wenye msimamo mkali hawadumu wengi waoKomredi Chavez!!
I wish R.I.P could stand for Return If Possible.
+ Leo katika historiaNawashukuru wadhamini wangu ambao ni Kapuku Forum, tuonane kesho.
Byeee...
Bila kusahau, Leo ni kumbukumbu ya kifo cha chacha wangwe, alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2008,maeneo ya panda mbiliNawashukuru wadhamini wangu ambao ni Kapuku Forum, tuonane kesho.
Byeee...
Siku zinakimbia kweli...Bila kusahau, Leo ni kumbukumbu ya kifo cha chacha wangwe, alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2008,maeneo ya panda mbili
Alipotezwa na Marekani kwa misimamo yakeWatu wenye msimamo mkali hawadumu wengi wao
Moto wa kifuu wale!! Wanaitana majina utadhani bendi+ Leo katika historia
2016' Vingongo Forum wapoteana baada ya mikwara mingi ya kuitana majina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................
Washindwe na walegee+ Leo katika historia
2016' Vingongo Forum wapoteana baada ya mikwara mingi ya kuitana majina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................
Hawa jamaa ni mashetaniAlipotezwa na Marekani kwa misimamo yake
ni wa kuogopwa sana!Hawa jamaa ni mashetani
Moto wa kifuu wale!! Wanaitana majina utadhani bendi
Washindwe na walegee
Hahaha...unapombeep asiye na salio naye anakujibu tafadhali niongezee salio
Unawapendelea, wakule mbegu za papai