Baada ya kazi..
Hongera sana,Mimi ndo nimempa km yule kikofia
Kila kapuku lazima awe na avatar kali
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
.............
Anapata kitu roho inataka kwani shs ngapi?Haaaa
Dingi wa taifa hapo alikuwa ana igiza au photoshop!!?
Wamebobea kwelikweli..Ubunifu
Anakitwanga kitwanga chake..Anapata kitu roho inataka kwani shs ngapi?
Makapuku lazima tupendaneHongera sana,
Una kipaji kwakweli
Nadhani hata Africa lakini ni kwa maeneo maalum ya kutesea!!.Hata sasa wapo mfn North Korea na majeshini watu wanauawa kimyakimya
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
...............
[emoji120]Pamoja sanaa
Nchi za Kidikteta na kiislamu ndo hapo kwa sanaNadhani hata Africa lakini ni kwa maeneo maalum ya kutesea!!.
Hiyo picha ni OGHaaaa
Dingi wa taifa hapo alikuwa ana igiza au photoshop!!?
Mkuu tuna kumiss[emoji120]
Unapata zako kitwanga kadhaaBaada ya kazi..
Mkuu nimekumiss[emoji120]
Acha Hizo. weka picha ili niamini sasaSiwezi kuonyesha hasi na chanya zikinasana
Mi picha nimeziona
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
..............
Kwa kweli walinchanganya kabsa kabsa hapo
DuuhSiku hizi kila Uzi chitchat ni FORUM ndo gia ya kutokea
Msema kweli forum
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....................