The Breaking Wheel
View attachment 372084
Hii iliitwa kwa jina jingine Catherine Wheel, na ilikuwa mtuhumiwa ana wekwa muguu yaje na mikono kwejye spoko za magurudumu halafu yana nyongwa au yana zungushwa tartiiibuu hadi miguu na mikono ivunjike vipande vipande na kama haija vunjika sana mtesaji alijiongeza kwa kutumia nyundo kuhakikisha hauna kilicho baki kwenye mguu
Sasa baada ya hapo kilicho fuata ilikuwa mtu huyo anatundikwa juu ili ndege wa mle akiwa mzima mzima, na akiwa bado wa moto sasa hii ilikuwa inachukua zaid hata ya siku 3 au 5
Na ilikuwa kama mtu hafi kwa kuwa alikuwa akiugulia maumivu makubwa wana mpa sumu, au wana muua kwa panga ili kupunguza maumivu ila hapo kama akiwa kakaa sana bila kuliwa na ndege yyte
Nalinda maadiliRepublican Marriage
View attachment 372079
Hii walii tumia sana kina Jean-Baptiste Carrier wakati wa French Revolution walichofanya ni kumchukua mwanaume na mwana mke wana wavua nguo na kuwafunga kamba(lilifanyika hadharani kabsa) halafu wana watupia kwenye barafu au maji ya barudi sana wakafie mbele huko kama hamna maji wali tega mapanga tuu na kuwa ua kwa pamoja
Hii waliitumia sana kwa ma sista na ma padre walo jifanya wana enda kinyume nao
Spanish Donkey
View attachment 372106
Hii mtuhumiwa ilikuwa lazima awe uchi kabisaaa na ana ekwa kwenye hiyo kitu sasa kutokana na mateso ilikuwa ina mkata kati katii ila taratiiibuuuuuu
Na wana sema hii ilikuwa ni moja ya njia mbaya zaid za kumuua mtu
Saw Torture
View attachment 372112
Walikuwa wana mvua mtu nguo zoote na kuchukua msumeno wana anza kazi kwa kumkata tartiibuuu pia
Walimuweka kichwa chini ili damu inavo toka iende kichwani na asipoteze faham
Kwa hiyo mtu alikatwa akiwa mzima mzima na akiugulia mauimivu mwanzo hadi mwisho wa uhai wake
Na ili kumfanya aumie zaid na akae mda mrefu zaid wakataji waliishia tumboni tuuu
Hiki ndio kifo alicho kipata st paul huko Roma
Hanged, Drawn, and Quartered
View attachment 372126
Hiii ndio ilikuwa kiboko
Kwanza mtu alinyongwa na kama ana karibia kabisa kifa walimtoa kamba
Then walimzamisha na kumtoa kwenye maji ili kunyima hewa
Halafu wali mhasi kwa ku mtoa dushe na ku choma dushe yake huku na yeye aki shuhudia tukio hilo
Na wali malixa kwa kumfunga kwa kamba na ku ziunganisha kwenye farasi then waliamuru farsi ziondoke na zilimvuta kwa nguuuvuuu hadi alipo kuwa vipande vipande
Wana sema hii ilitumiwa sana huko England kipind cha vita za miaka ya 1600 na ili kuja kupigwa marufuku mwaka 1814
Kuna watu wanaroho ngumu Sana..dah
AsanteNalinda maadili
NO picture
..................
Wana roho ngumu sanaKuna watu wanaroho ngumu Sana..dah
Sana aiseeInasikitisha
Pamoja sana mkuu.Thanks alot wakuu
Hii si kazi rahisi
Na wakubali watu woote wa segment za asubuhi hasa mussolin na My Jimena Jimenez nawakubali sana na nna washukur kwa moyo wenu wa kujituma na kaz fresh segment zenu ndo bora zaid nadhan hapa
Then asante kwa wengne woote wakuu
Weka picha [emoji85]Nalinda maadili
NO picture
..................
Aisee mkuu hizi top10 zinasisimua hadi utumbo kwa hayo mateso