Makapuku Forum

Cement Shoes

Hii ilitumiwa sana na wa amerika wa ki Mafia ambao walikuwa waki kukamata wana weka miguu kwenye kitu kama tofali kubwa halafu wana mwaga sumenti na wana subir hadi ikauke
The wana kuchukua wanaenda kuku tupa katikat ya bahari, mto mkubwa au ziwa
Apo huponi
 
Breast Ripper

Hiii na kopi jamani kama ilivo

"Though women were also subject to many of the torture techniques on this page, this is one that was specifically designed for them. Used to cause major blood loss, the claws, which were often red hot, would be placed on the exposed breasts as the spikes penetrated beneath the skin. It would then be pulled or jerked causing large chunks of flesh to come off with it."
 
 
Crocodile Shears

Hii ilikuwa inatumika kumpa mtu ulemavu wa moja kwa moja au ku mhasi mtu alo msaliti mfalme

Sasa waliipiga moto sanaa mpaka iwe nyekundu alafu wali bana sehemu husika(lets say dushe sasa hapo) halafu wana ivuta kwa nguvu ili kumng'oa bwana dushe
Na hapo ndi huwa mwisho wa stori ya mtu kuitwa mwanaume
 
 
Bora tuliozaliwa siku hizi
 
Kama movie jamani
 
Republican Marriage

Hii walii tumia sana kina Jean-Baptiste Carrier wakati wa French Revolution walichofanya ni kumchukua mwanaume na mwana mke wana wavua nguo na kuwafunga kamba(lilifanyika hadharani kabsa) halafu wana watupia kwenye barafu au maji ya barudi sana wakafie mbele huko kama hamna maji wali tega mapanga tuu na kuwa ua kwa pamoja
Hii waliitumia sana kwa ma sista na ma padre walo jifanya wana enda kinyume nao
 
Ha ha ha yani nimecheka sana japo ni tukio la kusikitisha
 
Kama ingekuwa kweli shetani yupo basi ningesema hao wanaofanya hayo ni ndugu zake ila tatizo hayupo na watu hufanya yote hayo kwa utashi wao
 
Yani wanaua ili wengine wafunguke? aisee hii sio sawa
 
 
The Breaking Wheel

Hii iliitwa kwa jina jingine Catherine Wheel, na ilikuwa mtuhumiwa ana wekwa muguu yaje na mikono kwejye spoko za magurudumu halafu yana nyongwa au yana zungushwa tartiiibuu hadi miguu na mikono ivunjike vipande vipande na kama haija vunjika sana mtesaji alijiongeza kwa kutumia nyundo kuhakikisha hauna kilicho baki kwenye mguu

Sasa baada ya hapo kilicho fuata ilikuwa mtu huyo anatundikwa juu ili ndege wa mle akiwa mzima mzima, na akiwa bado wa moto sasa hii ilikuwa inachukua zaid hata ya siku 3 au 5

Na ilikuwa kama mtu hafi kwa kuwa alikuwa akiugulia maumivu makubwa wana mpa sumu, au wana muua kwa panga ili kupunguza maumivu ila hapo kama akiwa kakaa sana bila kuliwa na ndege yyte
 
Unaenda kuwa chakula ya mamba
 
Hii sasa ni too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…