Kwanini wakati mai inglish iz klin.Hii kazi kuipata napo ni ndoto
Mhh sasa hyo simu si ajabu watakupigia baada ya yesu kurudi [emoji4]Nimetoka interview hapa ya job flani hivi...
Wameniuliza "so how far did you go with your education?", nikawaambia.. """""I didn't go very far because our school was just behind our house"""
wameniambia ningojee watanipigia sim [emoji336]
[emoji310][emoji161] [emoji165]
Good afternoon, asanteni kwa maombi yenu
Piga kazi mkuu, hizi nyakati za Magu ni majukumu mengi kwa pesa kiasi.. Inabidi kupambana sanaNiko poa mkuu, majukumu
Hata mara moja jamani toka uzi unaanza mpaka leoHajawahi kuipata???
Watakuonea wivu kiinglish chakoKwanini wakati mai inglish iz klin.
Kudadadadadek walahi!!!....hata hivyo haisaidii[emoji30] [emoji31]
Hamuna
Kwei[emoji106]View attachment 371887
To whom it may concern
Imekugusa?Kwei[emoji106]