Makapuku Forum

Weee utampigaje saound jimena wangu unatafuta [emoji380] !!?

Nishakushitaki kwake kwamba unanitishia na visu vya kukatia kachumbari, na pia tulikuwa tunakutafutia sababu tu ili akuache ha ha haaa...ila usijali nitakupa 5Mil na mdogo wangu wa kike aliye chuo waka wa mwisho...weka kabisa namba yako nikurushie!
 
Aaaah
Ngoja wewe ndo tukutafutie mwingine kwa kweli
Jimena simwachii [emoji379] [emoji378] [emoji379]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…