Makapuku Forum

Bwana angu[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Mbona mi sina bwana???

Ahaaa...hizi kazi zinachooosha...sijui n ifiche cheti ili nitumbuliwe niwe najifungia tu ndani kukuonesha upendo wa kweli? Maana ramli zinasema hapa kwamba nikiwa serious kubet pendo lako kwa walau mwaka mzima unaweza nifikiria....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…