Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,303
- 68,385
Hii salamu subiria mpaka niongezeke miaka 5 zaidi..... Salamu za mamwinyi hiziUliishia na usiku mwema...embu nianze na umeamkaje! Kisha nikupe tena na shkamoo alafu nione!
Hii nchi haina umaarufu kabisaLeo katika Historia:
1957 - Tunisia yawa Jamhuri.
Ni nchi inayopatikana kaskazini mwa Africa.
Mi kusema kweli NATO siwakubali sana wala niniLeo katika Historia:
1961 - John F. Kennedy Rais wa 35 wa Marekani anatoa hotuba ya kutoa msisitizo kuwa mashambulizi iwapo Berlin itashambuliwa basi wao wanaamini Nato nzima itakuwa imeshambuliwa.
John F. Kennedy alikuja kuuwawa November 22 Mwaka 1963
Happy Birthday Louise Brown.....Leo katika Historia:
1978 - Louise Brown anazaliwa.
Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwenye Test tube.
Asante na kwako piajuma tatu njema wadau
Israel wanapenda sana ubabeLeo katika Historia:
1993 - Israel inaivamia Lebanon katika kile kilichojulikana " Operation Accountability "
Na Lebanon wanatangaza vita ya siku saba dhidi ya Israel.
Yaaaanihilo gazeti la uhuru kuhusu ccm daaaa ni balaa mhariri apandishwe cheo tu mana hiyo calorait aliyolipaka ni balaa
Leo katika Historia:
1957 - Tunisia yawa Jamhuri.
Ni nchi inayopatikana kaskazini mwa Africa.
Wapumzike kwa amani wote hao waliotanguliaLeo katika Historia:
1993 - Saint James Church Massacre
Kunatokea mauaji huko Capetown, South Africa ambapo watu 11 wanafariki na 58 kujeruhiwa.