Makapuku Forum

Ndo hyo kapuku we ulizani ni mambo ya vita hapaaa
Mimi siyo msomaji wa hadithi....ndio maana sioni km unamkwaza mtu 7bu kuisoma ni hiyari yake kwanza hadithi ni ndefu na hadi mtu akute mambo mazito ujue kaifuatilia
Humu tunajisimamia wenyewe isipokuwa huwa tunawareport wapuuzi na waweka picha za uchi na matusi
................
 
Ukiweka chombezo hapa utasababisha uzi uhamishiwe jukwaa pendwa basi ni heri ulete hadithi ya mapenzi ila sio chombezo
 
Unaweza kuweka hapa hadithi za mapenzi pia lakini usiweke chombezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…