Yule ni mkwara tu,Yan mi mpaka nilianzaga kuamini labda jamaa ni ule uzao wa kina isaka wateule kwa jinsi tu anavyotusua ila leo ndo nimeona jinsi ntakavyoweza kuipiga 100k kirahisi
PointHahaha bado zipo nyingi tu sana before 80k, 90k na 100k lazima nitusue
Alafu pia kuanzia leo jioni nataka nilete chombeza niwe naziweka kule jukwaa la wakubwa ili wanaozipenda pia wawe wanakuja kule kusoma.Basi sawa
Hapa hairuhusiwi!!?Alafu pia kuanzia leo jioni nataka nilete chombeza niwe naziweka kule jukwaa la wakubwa ili wanaozipenda pia wawe wanakuja kule kusoma.
Maana cyo wote wanaopenda za upelelezi tu.
Hapa siwezi kuziweka kulingana na sheria.
Hvyo mzigo ntakuwa naushusha kule alaf ntakuwa nakuja hapa kuwashtua
Mi hata sina lengo hiloHahaha bado zipo nyingi tu sana before 80k, 90k na 100k lazima nitusue
Inaruhusiwa......kusoma au kupotezea ni uamuzi wa mtuHapa hairuhusiwi!!?
Alafu pia kuanzia leo jioni nataka nilete chombeza niwe naziweka kule jukwaa la wakubwa ili wanaozipenda pia wawe wanakuja kule kusoma.Basi sawa
We weka hapahapa hiyo ni hadithi siyo picha.....mtu kuisoma au kutoisoma ni HIYARI YAKEAlafu pia kuanzia leo jioni nataka nilete chombeza niwe naziweka kule jukwaa la wakubwa ili wanaozipenda pia wawe wanakuja kule kusoma.
Maana cyo wote wanaopenda za upelelezi tu.
Hapa siwezi kuziweka kulingana na sheria.
Hvyo mzigo ntakuwa naushusha kule alaf ntakuwa nakuja hapa kuwashtua
[emoji53] sidhani Bitoz km itafaa au km ni hvyo bora niwe nazileta zile zisizo na mitomboko mikaliInaruhusiwa......kusoma au kupotezea ni uamuzi wa mtu
Humu ni ndaninxani haionekani nje so atume tu haina noma kwanza Jukwaa la Wakubwa hatuendi huko
.............
Hapo sawaInaruhusiwa......kusoma au kupotezea ni uamuzi wa mtu
Humu ni ndaninxani haionekani nje so atume tu haina noma kwanza Jukwaa la Wakubwa hatuendi huko
.............