Ha ha ha kikofia katika ubora wake[emoji53] huyu J-lo ana umri wa kunizaa kabisa.. ila kwa hiyo figa"
Akinipa nakulaga[emoji39]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hello mutu ya CongoHello this home.
Ina kila kituHii Siredi naona siku hizi imekua ya "Leo katika historia".......
Kweli miaka inaenda mbio sanaMiaka inaenda! Huyu Rais ashalala miaka minne futi sita!!!
Yaaaani[emoji30] [emoji30] [emoji30]Afu unakuta kuna watu wanajulikana kuliko hata huyu aliyefanya ugunduzi muhimu kabisa kama huu kwenye secta ya afya
Pouwaaa..... Naona umeamka sasaAje aje mukulu, za jumapili?
Happy to you.Happy Sunday waungwana!
Sidhani...View attachment 370212View attachment 370214Hivi tized tuna madude kama haya???
Comment ca va Jimena?Hello mutu ya Congo
Ungeniuliza ningekuambia kafa mwaka juzi[emoji87]Kweli miaka inaenda mbio sana
....jamani naomba kuuliza, CT scan inapima nini???Ni kweli mkuu, yaani unakuta wanajulikana ni watu waovu tu lakini mashujaa kama hawa hawaimbwi.
[emoji39] Ana onekana tu ni kuku mtamu hata kwa kumuangaliaHa ha ha kikofia katika ubora wake
Dah alikua anatuzuga sio?Wanasiasa ni wanafiki sana
Inahusika kupima kwenye kichwa especially ubongo....jamani naomba kuuliza, CT scan inapima nini???
Niliamka kitambo sana sema sikuanzia hapaPouwaaa..... Naona umeamka sasa
Thanks, ulikumbuka kwenda kanisani?Happy to you.
Likes walikuwa hawatoi hata ukiongea point, ila wao kwa wao hata pumba ma-like kibao!!!....mapinduzi yametokea wanaweweseka!!![emoji15] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwel nmeamini sisi ni masuper star hapa Jf.
Embu cheki hawa wanavyoweweseka na huu uwepo wetu hapaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kichwa sana, nashangaa mtu muhimu ka huyu kwanini hajulikani?Huyu nae alikuwa kichwa kwakweli
Poa B. Jpili iko bien[emoji106]Aje aje mukulu, za jumapili?