Huyu nae alikuwa jiniaz.Leo katika Historia:
1934 - John Dillinger anauwawa.
Ni Jambazi maarufu aliyetikisa katika wizi wa kuvamia Benki huko Marekani. Pia alikuwa ni mahiri kwenye kutoroka jela.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya wahalifu waliowahi kusumbua vyombo vya dola nchini Marekani.
Na embe bichi, hapo unapenda mwenyeweSasa sisi tunachanganya mchanga wa petroli na kambale halafu katukutu(kachumbari) pembeni unashushia na togwa bila kusahau mbilimbi ....ni balaa
[emoji12][emoji12] [emoji12] [emoji12]
........
Maembe mabichi ni ya akina LizzyNa embe bichi, hapo unapenda mwenyewe
Figure [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Kama yule DJ wetu?Huyu nae alikuwa jiniaz.
Watu wana pesa aisee...Na juzi kati kuliokotwa mabilioni ya dola na mkulima fulani huko huko Colombia ambazo pia ziliaminika kuwa ni za Escobar
Lenye Pilipili [emoji3] [emoji3]Na embe bichi, hapo unapenda mwenyewe
Figure [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Mmmmh nitakuja kula!Sasa sisi tunachanganya mchanga wa petroli na kambale halafu katukutu(kachumbari) pembeni unashushia na togwa bila kusahau mbilimbi ....ni balaa
[emoji12][emoji12] [emoji12] [emoji12]
........
Hahaaaa ya wenye mimba bwanaMaembe mabichi ni ya akina Lizzy
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
.............
duuh...mbantu asilia
Halafu tunamaliza kwa tokoto(kustarehe)Mmmmh nitakuja kula!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Halafu tunamaliza kwa tokoto(kustarehe)
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
Hahaaaa ya wenye mimba bwana
Kitandani au[emoji85]Halafu tunamaliza kwa tokoto(kustarehe)
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
[emoji4] [emoji4] kama wewe vile..Figure [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Anajiweza, wengine wanakuwa hoi hata kunyanyua mguu hawawezi.
Mpaka wanakosa pa kuziwekaWatu wana pesa aisee...