Makapuku Forum

Makapuku Forum

1460660327299.jpg

Kipanga, aina ya ulozi
 
Mzee mimi ndo founder
Makapuku hatupendwi na haiwezi fanywa sticky...siku ya 1 tu mods waliipiga kufuli ikiwa tyr na views 777 ....tukaanza upya
Tuendelee tu hivihivi hakuna tatizo
Ipo swaaf tu
Sticky huwekwa thread za wakongwe

.......................
Ila mods nao sometimes kama.....*
Ngoja tu nitulie nisije nikala Ban.
 
Mzee mimi ndo founder
Makapuku
hatupendwi na haiwezi fanywa sticky...siku ya 1 tu mods waliipiga kufuli ikiwa tyr na views 777 ....tukaanza upya
Tuendelee tu hivihivi hakuna tatizo
Ipo swaaf tu
Sticky huwekwa thread za wakongwe

.......................

hapo kwenye red umezingua, kwenye wingi wa watu usipende kujiweka mbele sana mkuu Bitoz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom