Mzee mimi ndo founder
Makapuku hatupendwi na haiwezi fanywa sticky...siku ya 1 tu mods waliipiga kufuli ikiwa tyr na views 777 ....tukaanza upya
Tuendelee tu hivihivi hakuna tatizo
Ipo swaaf tu
Sticky huwekwa thread za wakongwe
Tukichanganywa na wakongwe tutakuwa tunatukanana tu