Makapuku Forum

Uwe na siku njema ya baraka

Habr za usubuhi Makapuku form niwatakie asbh njem na kaz pia mungu awafanyie wepes kwa kila jambo la kheri.

Ni asubuhi tulivu,
Mungu ametujalia
Kuiona
Na tuseme asante kwa Mungu.

Nawatakia kazi njema wote.

Yawezekana kuna mtu miongoni mwetu hajui atafanya nini, Mungu amfungulie milango ya kazi

Yawezekana umetembeza barua kila ofisi na kazi hujapata, Mungu akusaidie upate taarifa kuwa unahitajika mahali kwa kazi

Yawezekana biashara yako nayo haiendi/ hainunuliki, mwambie Mungu wako asubuhi hii naye atakusaidia

Yawezekana pia huna amani, watu wamekuudhi sana na huna amani, jaribu kusamehe na Mungu atakupa amani
Ameeeen
 
3 5 10 vinanihusu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…