Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Jul 19, 2016 #70,801 Jimena said: View attachment 367743 Click to expand... Jimena habari za kutwa, hii ni saa ya kutimiza ile ahadi, uwaandae uwapendao yaani kf wakae tayari
Jimena said: View attachment 367743 Click to expand... Jimena habari za kutwa, hii ni saa ya kutimiza ile ahadi, uwaandae uwapendao yaani kf wakae tayari
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 19, 2016 #70,802 QUIGLEY said: Jimena habari za kutwa, hii ni saa ya kutimiza ile ahadi, uwaandae uwapendao yaani kf wakae tayari Click to expand... Niko poa kabisa sijui wewe Sawa kabisa weka mambo watu wagombanie goli
QUIGLEY said: Jimena habari za kutwa, hii ni saa ya kutimiza ile ahadi, uwaandae uwapendao yaani kf wakae tayari Click to expand... Niko poa kabisa sijui wewe Sawa kabisa weka mambo watu wagombanie goli
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,993 Reaction score 104,498 Jul 19, 2016 #70,803 Jamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali
Jamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,993 Reaction score 104,498 Jul 19, 2016 #70,804 Natka nihamie shamba
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 19, 2016 #70,805 makaveli10 said: Jamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali Click to expand... Kibaoni Tegeta?? Kina ukubwa gani na ni pesa ngapi?
makaveli10 said: Jamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali Click to expand... Kibaoni Tegeta?? Kina ukubwa gani na ni pesa ngapi?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Jul 19, 2016 #70,806 Jimena said: Niko poa kabisa sijui wewe Sawa kabisa weka mambo watu wagombanie goli Click to expand... Kwema tu nnawamiss sana mchana ubize umenizuia kujoin family
Jimena said: Niko poa kabisa sijui wewe Sawa kabisa weka mambo watu wagombanie goli Click to expand... Kwema tu nnawamiss sana mchana ubize umenizuia kujoin family
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 19, 2016 #70,807 QUIGLEY said: Kwema tu nnawamiss sana mchana ubize umenizuia kujoin family Click to expand... Ni sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyo
QUIGLEY said: Kwema tu nnawamiss sana mchana ubize umenizuia kujoin family Click to expand... Ni sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyo
Ip man 3 JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 677 Reaction score 558 Jul 19, 2016 #70,808 Jimena said: View attachment 367756 Click to expand... Umesomek wambie
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Jul 19, 2016 #70,809 Jimena said: Ni sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyo Click to expand... Sure
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jul 19, 2016 #70,810 lizziebettie said: Upara sio mzuri, shauri yako. Click to expand... Hahaha sikuwa najua aisee
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jul 19, 2016 #70,811 Jimena said: Ha ha ha utetezi on fleek Click to expand...
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jul 19, 2016 #70,812 Jimena said: View attachment 367737 Click to expand... Fact..!
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,993 Reaction score 104,498 Jul 19, 2016 #70,813 Jimena said: Kibaoni Tegeta?? Kina ukubwa gani na ni pesa ngapi? Click to expand... Ndugu yangu thamahani.. Thana nmevurugwa... Kipo kibada not kibaoni, ni kibada sqm 804, bei ml 70 inapungua. Kipo barabarani, ni viwanja vilivyopimwa na sirikali..
Jimena said: Kibaoni Tegeta?? Kina ukubwa gani na ni pesa ngapi? Click to expand... Ndugu yangu thamahani.. Thana nmevurugwa... Kipo kibada not kibaoni, ni kibada sqm 804, bei ml 70 inapungua. Kipo barabarani, ni viwanja vilivyopimwa na sirikali..
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jul 19, 2016 #70,814 Jimena said: View attachment 367741 Click to expand...
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jul 19, 2016 #70,815 makaveli10 said: Jamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali Click to expand... Weka bei mezani ndugu
makaveli10 said: Jamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali Click to expand... Weka bei mezani ndugu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Jul 19, 2016 #70,816 Jimena said: Ni sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyo Click to expand... Kwa hisani ya IRON LADY...JIMENA,
Jimena said: Ni sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyo Click to expand... Kwa hisani ya IRON LADY...JIMENA,
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Jul 19, 2016 #70,817 QUIGLEY said: Kwa hisani ya IRON LADY...JIMENA, View attachment 367770 Click to expand... Ukifanikiwa kudaka mpe jimena mrejesho, zoezi liendelee
QUIGLEY said: Kwa hisani ya IRON LADY...JIMENA, View attachment 367770 Click to expand... Ukifanikiwa kudaka mpe jimena mrejesho, zoezi liendelee
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,993 Reaction score 104,498 Jul 19, 2016 #70,818 briz said: Weka bei mezani ndugu Click to expand... 70m, kipo barabarani, viwanja vilivyopimwa na serikali.. Correctio: kipo kibada not kibaoni.
briz said: Weka bei mezani ndugu Click to expand... 70m, kipo barabarani, viwanja vilivyopimwa na serikali.. Correctio: kipo kibada not kibaoni.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 19, 2016 #70,819 makaveli10 said: Ndugu yangu thamahani.. Thana nmevurugwa... Kipo kibada not kibaoni, ni kibada sqm 804, bei ml 70 inapungua. Kipo barabarani, ni viwanja vilivyopimwa na sirikali.. Click to expand... Asante kwa taarifa, ntauliza wenye uhitaji
makaveli10 said: Ndugu yangu thamahani.. Thana nmevurugwa... Kipo kibada not kibaoni, ni kibada sqm 804, bei ml 70 inapungua. Kipo barabarani, ni viwanja vilivyopimwa na sirikali.. Click to expand... Asante kwa taarifa, ntauliza wenye uhitaji
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,993 Reaction score 104,498 Jul 19, 2016 #70,820 Jimena said: Asante kwa taarifa, ntauliza wenye uhitaji Click to expand... Sawa best..