Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,939
- 8,883
Unajua kutapika? Ukishajua kutapika utajua kulisoma hili jina.Mkuu nimelike tayari, nisomee sasa.
Unajua kutapika? Ukishajua kutapika utajua kulisoma hili jina.Mkuu nimelike tayari, nisomee sasa.
punguza ukali wa ukweli mkuuWewe mwenyewe mzee tayari,Nahrene hayuko tayari kuwa mjane mapema.
Hama tu
Ndototumia zile mbinu zako mvute jimena
cc Jimena
Mimi ni anti uchawi na anti limbwata pia😀😀😀😀 maskiniii youngusipende kuandikia mate kijana, wakat wino upo...
embu ngoja aje kwangu kwanza alafu ndo atajua uzee wangu uko kwenye mvi au kwenye kichwa kinachofunikwa na suruali!!!
nakuaminia sana Mwansu mwenzangu..Usijali nshamaliza kaziView attachment 338162
Huyu lazima apate anachokitakaKazi unayo. Kama vipi mtoa kishipa a.k.a kispora
Hahaha mkuu unakosea Jambilo sio kijambio lina maana nzito mno mkuusasa ndugu Jambilo..
utajamb* lini tena?
(am just kidding)![]()
![]()
![]()
Mshana watu wanakuogopa hata ukidondosha bundle la pesa juu yake uanfike mshana jr, hakuna wa kuokota
Mkuu umemalizaFanya mapema sasaHuyu lazima apate anachokitaka
Mkuu mambo ya chumbani hatuweki hadharani.Mbona kama hakuoni mkuu... Bado naamini kuna shida
Ndoto![]()
![]()
![]()
Mimi ni anti uchawi na anti limbwata pia
Mshana umeshageuka ndege tayari
Hiyo ni kiboko inaitwa universal floating widget with buffersnakuaminia sana Mwansu mwenzangu..
najua huwezi kunitupa
Hahaha mkuu unakosea Jambilo sio kijambio lina maana nzito mno mkuu
embu leta hiyo maana yake hapa, maana mimi nmeanza kufikiria vibayaShauri yako.. Wenye meno wanakula nyama we mumunyaMkuu mambo ya chumbani hatuweki hadharani.
Hapo hizo ndumba zikijitahidi zinaishia kipawa tu