Mpaka waombe poo.....tunavunja rekodi zote kuanzia likes,replies,views
C walituona matakataka sasa tumemaliza nyodo za wakongwe wanafikiri JF ni mali yao au wamerithi kutoka kwa baba zao
Tutaheshimiana tu
.............
Siyo wote.......lkn idadi kubwa ya vingongo full nyodo
Ht mm thread zangu za mwanzo walinitukana sana mmojawapo ni Ngedere Ungabure alinitusi kwa kiingereza chake kichafu wkt sijamkosea MTU
.........................
FIX ZA BITOZ:
Ngongo= Mkongwe/mzee/ajuza
Kibatari= Mmbea
Nyapinyapi= mtu mkware
Mkushi= Mtu kiherehere
Kikwachu= Mpenda sifa/kick
Kibwanyinyo= Mtu
mwenye shobo
Haya Vikwachu Fix za Bitoz zitaendelea kesho muda km huu......msisahau kuvisalimia Vikudwi vyenu...mi nipo na Kishkwambi changu tunakula ubeche