Makapuku Forum

[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] Zinawaingiaa tuuu
 
Pogba V Adam Nditi wkt wakichezea timu za vijana.....Pogba now ni star Nditi kapotea km Hasheem Thabeet.....Wabongo tunaridhika mapema mfano hata humu kuna vikapuku viriridhika kwa kufikisha likes 5000 .....vikifulia ndo vinarudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......................
 
Kurudhika ni TATIZO kubwa mno, mfano mtu apatapo ka ajira tena kwa wahindi anaridhikaaaa.
Ajira ni nzuri hata ikiwa na mshahara mdogo but ifanye kama stepi...stone kuvuka upande wa pili.
Vivyo hivyo kwa soka na kazi zingine pia
 
Akiona vipi ajiunge na kitengo chenye nguvu na kasi ya ajabu yaaani kf[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahahah huyo ni rafiki yangu sana Leo ametukumbuka
 
Kurudhika ni TATIZO kubwa mno, mfano mtu apatapo ka ajira tena kwa wahindi anaridhikaaaa.
Ajira ni nzuri hata ikiwa na mshahara mdogo but ifanye kama stepi...stone kuvuka upande wa pili.
Vivyo hivyo kwa soka na kazi zingine pia
Walkianza kupotezwa na kina Kichumvi ndo watakbuka shuka asubuhi
...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…