Tuwapotezee cha msingi tufanye yetu
Aiseee, we bitoz ni noma sanaaa
Nmechunguza nmegundua aina ya uandishi wake ni ule ule na kwenye upande wa siasa yuko kile kile
kweli unafaa kuwa CIA
Ok tuwapoteze wala tusiwajadili tenaTuwapotezee cha msingi tufanye yetu
HATUPUNGUKIWI KIWI NA HAWATAWEZA KUTUFIKIA HATA LIST YA LIKES LABDA WAWATOE MABOYA KM KICHUMVI & NGEDERE TU WASHACHELEWA SISI TUPO KIBAHA
..................................
Tisha sana
Mbona yake imemshinda
............
Siendi kuwapa kickWale makapuku ambao mtakuwa mmeanza kucolify na kuuacha ukapuku mnakaribishwa sasa kwa wakongwe<br />The Name,<br />Bitoz and alike, ukapuku waachieni wengine...nyie mmesha quality sasa
naona jamaa anakutaja kule kwa wakongwe
ameamua kuachana na kile chama cha mabachela Tanzania(CHAMATA)Hahaha 36yrs kama sijakosea ila siko sure sana
Asante sanaTayari nmeshamaliza hadithi, kesho nakuja na nyingine.. so stay tuned
Makapuku ni homa ya dengue ama neneDuh hii kali, KF noma... tusubiri na mengine mengi tu yaibuke
Mniwie radhi nimeshindwa kutimiza wajibu wangu, nimekuwa busy sana, ndo narejea home sasaSiendi kuwapa kick
.................
Nawatakieni usiku mwema makapuku family
ameamua kuachana na kile chama cha mabachela Tanzania(CHAMATA)
Sasa safari ya mbugani lini? Maana hamna namna sasaHahaha 36yrs kama sijakosea ila siko sure sana
Je wajuaMniwie radhi nimeshindwa kutimiza wajibu wangu, nimekuwa busy sana, ndo narejea home sasa
Akupe jibu maandalizi yaanze dadakeSasa safari ya mbugani lini? Maana hamna namna sasa
Hahaha vp mkuuJe wajua
1)je wajua kuwa QUIGLEY ndo aliyetupia post ya 68802 leo
Maana hakuna namna nyingineAkupe jibu maandalizi yaanze dadake
Poa poaMniwie radhi nimeshindwa kutimiza wajibu wangu, nimekuwa busy sana, ndo narejea home sasa