Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Leo katika Historia:
1934 - Wole Soyinka anazaliwa.
Ni mwandishi mashuhuri wa fasihi barani Afrika anayetokea nchini Nigeria.
Huyu nae alishawahi kuishi uhamishoni...ni mwandishi hatari sana kwenye fasihi.
Nimewahi kusoma kitabu chake kimoja ni hatareee
.............
Leo katika Historia:
1942 - Harrison Ford anazaliwa.
Ni mwigizaji maarufu toka nchini Marekani na moja kati ya movie zake ni " Air Force One "
Jana application ilikuwa inasumbua sana kwa upande wangu ndio maana nilishindwa kuwepo. Miss uNiambie mkuu wangu,
Vipi leo unakesha?
Leo katika Historia:
1956 - Michael Spinks bondia wa ngumi toka nchini Marekani anazaliwa.
Inasemekan mkono wake wa kushoto ulikuwa na nguvu ya hatari.
Mamkubali sana huyu profLeo katika Historia:
1934 - Wole Soyinka anazaliwa.
Ni mwandishi mashuhuri wa fasihi barani Afrika anayetokea nchini Nigeria.
Leo katika Historia:
1979 - Craig Bellamy mchezaji wa mpira wa zamani wa Liverpool, Man City na Wales anazaliwa.
Alisifika sana kwa ukorofi enzi anacheza mpira.
Ca va bienBonjour, ca va?
Morning brizG
O
O
D
Morning Family!
BonjourBonjour famile
Asante na kwako pia
Asubuhi njema Kapukuz
...........................................
Morning ShululuMorning all kapuku
Ca va bienBonjour, ca va bien?
Leo katika Historia:
1980 - Seretse Khama, Rais wa kwanza wa Botswana anafariki Dunia.
African PolifixHuyu nae alishawahi kuishi uhamishoni...ni mwandishi hatari sana kwenye fasihi.
Morning za weweMorning Shululu
Ca va bien
Sina la ziada toka kwenye maktaba yangu, tukutane kesho kwa udhamini wa nguvu wa Jimena.
hahah...sawa.
Asante sana na kwa hisani ya Mussolin5 kunipiku asubuhi ya leo na tuyaangalie basi magazeti yetu ya leo
bien merciMorning Shululu
Ca va bien